Malezi Duni na Utandawazi ndio Chanzo cha ongezeko la mijadala ya kupinga na kukosoa ndoa na maisha ya ndoa

Mmmmmmhmn ndugu haujawahi kuigiziwa mtu ana kuactia hata miaka 10 ukishaweka mambo fulani ambayo yanampa uhakika kuwa ndoa kaipata basi anaanza maviburi.
Imemkuta ndugu yangu hii,hadi kaukimbia moto.
Cheti cha ndoa kwa mwanamke sijui huwa na sumu gani,kabla ya kupata cheti utii kama wote
 
Ndoa itakua nzuri kama itaweka usawa kwa wote bila kubagua pale kutakapo kuwa na changamoto fulani ,japo mimi sio muislamu ila kwa sasa ndoa zenye faida kwa mwanaume ni za kiislamu tu.
Dini haifanyi mtu kuwa na ndoa nzuri au mbaya ni watu wenyewe.
Dini zipo kutuelimisha na kutuonyesha njia.
Iwe ya kiislam mali ulizo chuma na mume akiondoka wapewe wajomba na watu wengine ambao hawajui hata historia na mliyopita kuchuma hizo mali nyie mkiachiwa kasehemu kadogo au.
kuongezewa wake wenza wa3 kwa tamaa za mwanaume baada ya kumsaidia mwanaume kusimama ulipomkuta choka mbaya bila uwezo wowote.
AU.
Ya kikristo ukifunga umefunga mpaka kifo utakayoyakuta yawe mazuri au mabaya?

Nimtazamo tu kusema dini hii ni zaidi ya hii tunakosea.
Mimi upande wangu nikiona SITA upandewaka ukiona TISA hakuna aliyekosea.
 
Kizazi cha leo ni mwanamke yupi ambae atamsikiliza mume wake jinsi inavyotakiwa?
 
[emoji16]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mbaya zaidi unamulekeza kitu kinachoeleweka kabisa lakini anajitoa ufahamu kabisaaaaaa..

Hawa jamaa wanawaona wadogo wanaokataa ndoa ni wajinga ila kiuhalisia wanaume tunajitoa sana kwa ajili ya familia Ili Hali wake zetu vanashindwa kufanya vitu vdg sanaaa kutoa sapoti tu,kuwa waelewa na kuwa na shukrani tu..

Vitu vdg sanaaaaaa ambavyo ukupata mwanamke muelewa yaani hata havina gharama kuvifanya...

Hata hiyo kutumia akili inayozungumziwa
Kwenye biblia ni kupuuza 75% ya maneno na matendo anayofanya mkeo otherwise utabadilikia kwenye ndoa na kuwa mtu wa ajabu sana..Katili au mlevi au Malaya tabiaa ambazo kabla ya kuoa pengine hata hukuwahi kuwa Nazo..

Utashangaa unaongea mwenyewe barabarani kama kichaa..

Shika hii pesa tunza Ada ya mtoto,anaenda kununulia wigi..Sasa unajiuliza nifanyaje mtu huyu leo kesho keshokutwa anarudia mistake zile zile unaongea weeee.
 
Lakin mkuu hzo za kiislamu wanawake wao hawna viburi kama hawa wa mpka kifo kitenganishe , wanaume wengi wenye stress za ndoa ni wakristo ila waislamu wanaishi kma wafalme kwenye ndoa
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Mwanamke bila kujalisha anatoka familia ya uwezo au kifukara, mwenye elimu au asie na elimu, mwenye kazi au asiye na kazi, mwanamke akikosa tu elimu ya kuwa mwanamke na kujitambua majukumu yake ya kike na nafasi yake katika maisha ya mwanaume na jamii inakuwa ni kazi bure.

Majibu yanaonekana sasa wazi wazi, wanawake waliosoma labda wawe na uwezo wa kifedha kidogo inawapa advantage ya kuteuliwa kuwa wake za watu ila nje ya hapo mtu akijua tu binti ana elimu ya chuo basi huwa inampa majibu kuwa hapa hakuna mahusiano bali kuna ligi ya mabishano na ujuaji aina ya "Education is better than Money". So huwa tunaishi nao tu kusindikiza muda hatuna swaga za kuoa.
 
Jamba kabisa basi maana aliagiza eti ujambe.
 
Nimekujibu kwa hasira au ukweli unauma? Unajipinga tena wakati mwanamke kuhudumiwa na mume wake unaona anafaidi?vijana msipobadirika mtaolewa sana tu,sikushangai vijana kama wewe mmejaa tele amtaki kufanya kazi kutimiza majukumu mnataka mseleleko tu.
mjibu jamaa kwa hoja, acha kuweka mihemuko mbele
 

Hata akiwa na elimu au uwezo wa namna gani kama mwanamke hajielewi hamna kitu hapo..
 
Alafu ni wanaume ndo wameshikilia bango,huwa nawahurumia
Mtoto aliyepatikana kwa mawazo ya kataa ndoa usidhani ataona umuhimu wa ndoa
Vijana tafuteni wanawake wazuri wa kuoa wapo,
 
Nyie ambao mmeoa pambaneni na ndoa zenu na wake zenu tutazidi kuwala TUSHASEMA KIJANA KATAAA NDOA NDOA NI UTAPELI mbona mnatulazimisha kuoa
 
True mkuu umeongea mazito sana. Infact, mimi nimekuelewa sana maneno yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…