Malezi Duni na Utandawazi ndio Chanzo cha ongezeko la mijadala ya kupinga na kukosoa ndoa na maisha ya ndoa

Ndoa ni nzuri kama mkikutana wote mnahofu ya Mungu.
ndoa ni nzuri kama hamtataka kutumia akili nyingi sana katika ndoa
Ndoa ni nyepesi kama kilamtu ataingia kwenye ndoa akiwa na lengo la kuwa na mwenza wake kwa lengo la kuishi nae kama mke na mme maisha yao yote.
Bila ndoa hakuna familia
Bila ndoa hakuna amani
Bila ndoa hakuna malezi bora ya watoto
 
Ipo haja katika Bunge lijalo hoja za ndoa za mikataba ikaanzishwa, itasaidia sana, itaokoa wengi kwa siku zijazo, maana watu wataingia ndoa za mikataba miaka 5,watakapoimudu na kuona wanaenda sawa ndipo waingie kwenye ndoa za imani zao. /akina mama wameota mapembe mitaani, raha ya ndoa hakuna tena na ukimkalia sana utosini ki mabavu maisha yanakuwa hatarini.
 
Msimamizi wa Mali za familia ni huyo mwanamke nilie zaa nae kama nitakufa ila hii mentality ya mwanaume kufa wakwnza mmi siiungi mkono kamwe , akija zulumiwa ni karma tu imefanya kazi yake , hakuna kinachotokea bila sababu.
Unajua ni kwasababu gani wanawake wanajua kuwa utakufa kwanza na wao ndio watarithi na kutake over mali zote na watoto, ni kwasababu wanajua wanachokifanya.

Mwanamke anajua kuwa malengo yake ya kukupelekesha upate mali na fedha na kumsomeshea watoto yakishatimia wewe hakuhitaji tena hapo automatically.

Sasa ni ujinga kujiaminisha kuwa mwanamke anaweza kufikiria nje ya hapo wakati ndio ukweli. Wanawake wapo very Honest na wanatuonyesha hisia zao wazi wazi.

Hawana upendo na mwanaume ila wanashida nae so hutumia maigizo ya kumpenda ili kumrubuni na kumpumbaza awape wanachotaka. Ni ujinga wa mwanaume ndio huwa unamponza na wala sio mwanamke. Wanaume kufa mapema ni matokeo ya kutokujiandaa kisaikolojia mwanamke kumchenjia tabia ghafla utu uzimani.

Mkishapata mali, pesa, watoto wapo sekondari wanakaribia chuo, yeye ana uhakika amehodhi kila kitu wadhani nini kinabakia hapo zaidi ya kushughulikiwa kwa kukutenga kukupa stress, kukuzingua na kukufanyia fujo za kila aina hadi upate magonjwa yatokanayo na hizo kabrasha udedi mapema.

Wanaume wa zamani na hata wa sasa wanaoiga huu mfumo wa kuishi huwa wanasahau kuwa na purpose nje ya familia. Familia huwa inaanza kuzingua watoto wakishakuwa wakubwa then mzee unabakia hauna tena jipya na mke anakuona kero tu hapo. Ukitoka nje kutafuta faraja na uzee wako utamkuta nani huko.
 
Hili swali wanakwepa kulijibu wanabakia kuongea ongea lugha za lawama.

Hebu waambie wakupe faida za moja kwa moja za ndoa kwa mwanaume.
 
Naona sasa umeamua kunitusi kwa kutumia lugha kificho[emoji1545]
Hapana sijakutukana, ila umejionea wewe mwenyewe kuwa kuwasilisha wazo la kike kwa sauti ya kiume ni fedheha kubwa sana kwa mwanaume.
 
Kizazi cha leo ni mwanamke yupi ambae atamsikiliza mume wake jinsi inavyotakiwa?
Ngumu sana babu anakusikiliza pale akiwa hana option tu ila akiwa ana option zake we thubutu yako.
 
Na ukipeleka haya malalamiko kwa wazazi unaambiwa wewe ndie baba wa familia kwann umuachie mkeo pesa ya ada kwann usingelipia mwenyewe tu.
 
raha ya ndoa hakuna tena na ukimkalia sana utosini ki mabavu maisha yanakuwa hatarini.
 
Ndoa ni kwa ajili ya wanaume waliokomaa kiakili na kifikra na wenye kujitambua
 
Nilikua napinga ndoa. Sasa hivi nawaza kumuoa Zodwa, akikubali naisaliti hiyo kambi ya kupinga pinga.

Akigoma sawa, kidumu chama cha kataa ndoa!
 
Tumeanza na msingi kwanza wa kwann kitu kinatokea acha kudeflect hoja yangu, hatushindani hapa tunapeana elimu.

Mimi nimekuuliza swali la msingi. Mwanaume na mwanamke wakilala na watu 1000 wa jinsia tofauti na wao katika span ya maisha yao yote, ni yupi ambaye atapata hasara zaidi kuliko faida alizotarajia.

Kumbuka hapa siongelei kuwa na mahusiano na mtu bila kufanya mapenzi. Yaaani hawa watu 1000 kulala nao as multiple partners ni must, so kama kila m'moja akilala nae kwa wiki mara 3 ina maana ni mwanaume amefanya mara 3000 na mwanamke amefanywa mara 3000.
 
Na ukipeleka haya malalamiko kwa wazazi unaambiwa wewe ndie baba wa familia kwann umuachie mkeo pesa ya ada kwann usingelipia mwenyewe tu.
Wazee wanatuaminisha mwanamke hakosei lakini ukijakuoa ndo unajua mbona ni majanga tupu

Wao sasa wanaamini nima victims wanastahili huruma
 
Wapo wangapi? Unajua uzungumze kitu ambacho hata wewe unakiamini na hata ukiambiwa nionyeshe unaweza onyesha?!

Hivi uweke house boy apike chakula, adeki nyumba, afue nguo za familia, atazame watoto, awabembeleze walale, awaogeshe, awavalishe nguo?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mwenzetu umeona wapi hii kitu hebu utusaidie na sisi tuwapate hao mahouseboy kutoka mbinguni.

Yaani utakuta anamla kuanzia mkeo, na watoto ukikuta hawana malinda usishangae.
 
Wanawake wengi wa afrika hawajui malezi, sababu hawana elimu ya malezi, wanawalea Sana watoto vibaya. Wanaamini kwenye ukali, vipigo, na sio kuvunja.
Wengi wao Wana mapepo thus utumia zaidi nguvu kuliko akili kwenye malezi. Thus tunapata Jamii ya hovyo viongozi wa hovyo.
 
SISIMIZI WANAONEKANA PALIPO NA SUKARI TU, IKIISHA WANAONDOKA.!!!
THAMANI YA MWANAUME NI PALE UNAPO TUNZA FAMILIA, KUSOMESHA, KULIISHA, KUVALISHA NA MAKAZI.
UKIKOSA UWEZO HUO , HUNA SIFA TENA YA KUITWA MWANAUME KICHWA CHA FAMILIA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…