Malezi Duni na Utandawazi ndio Chanzo cha ongezeko la mijadala ya kupinga na kukosoa ndoa na maisha ya ndoa

If I were a president kijana yoyote anayeingia kwenye mahusiano pasipo kuonesha muelekeo wa kuoa au kuolewa cha moto angekiona[emoji23]
 
Wanawake walioolewa wanayoyafanya mataani laiti waume zao wangejua wasingethubutu kuja hapa kusema ndoa zisivunjwe!

Wanaume waliooa ndio michepuko kibao,Ile maana ya ndoa sidhani kama IPO.

Ila mwisho WA siku ibaki kuwa chaguo la MTU kuoa au kutokuoa.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Wanaopinga ndoa ni waumini wa Alphabet LGBT
 
Wewe kama umeolewa Mme wako ana tabu Sana na Kama hujaolewa wewe huna sifa ya kuwa mke otherwise ubadirike.


Nimesoma Maandiko yako kwenye huu Uzi.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Ubaya wako unaokoteza life style za waarabu na westerners Sisi tukopi.

Mbona hutaki kuiga life style la wanawake WA kiarabu pale Saudi mwanamke anavaa nikabu Tu Ka kaolewa. Mbona na wewe huhimizi wanawake wa tanzania wavae nikabu wasiwe wanajaa suruali. Kila jamii ina tamaduni zake.

Mwanamke WA kitanzania kuvaa Dira na kuchomekea ni kawaida Ila huwezi kumwambia mwanamke WA kipalestina avae hivyo.

Hivyo basi tuna tamaduni tunatofautiana na wenzetu Hadi kwenye ndoa na majukumu Kati ya mke na Mme.

Mimi nimewahi kuwa na mahusiano na mwanamke kutoka France nilishindwana nae Kwasababu ya hizo 50% 50% nikamwambia Sisi hayo mambo kwetu hatujazoea. Sisi kwetu Africa mwamake ana nafasi na mwanamke ana nafasi yake. Yani mwanaume unapangiwa Hadi Ratiba ya kuosha vyombo huo si upuuzi.




Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Mimi naona Maisha ya Mtu kukaa single bila Attachment na Mwanamke ni mazuri Sana

Kula vizuri
Lala vizuri
Sali Sana
Kataa ndoa
Tafuta pesa kwa ajili yako na wazazi na wasiojiweza huu mradi wa Ndoa unawafaidisha wanawake tu.
Unaogopa majukumu mwamba hakuna maisha bomba kama ya ndoa
 
Hapana hawana nafasi kubwa kwangu bali wana nafasi yao kwangu hasa nikizingatia maandiko ya imani yangu ya kidini
Anhaa, kumbe wewe una zingatia maandiko ya dini yako basi ni sawa kwa upande wako. Mimi siishi katika maandiko ya dini yoyote.
 
Hizi ndizo type zilizo kuwepo Mshana Jr nazani umeziona na bahati mbaya wanaume siku hizi nao wapo kwenye mode ya POTELEA MBALI.
 
Mapadri na watawa nao ni wapinga ndoa? Labda Ile sakramenti iliyowekwa na kanisa inawalinda.
 
Anhaa, kumbe wewe una zingatia maandiko ya dini yako basi ni sawa kwa upande wako. Mimi siishi katika maandiko ya dini yoyote.
Tofauti yetu iko hapo .. Lakini ni dhahiri ulichokisema ni uongo mkubwa sana
 
Kwanza ni ujinga kuoa halafu mke wako unamruhusu kuenda kuajiriwa kwenye ofisi za wanaume wenzio wanamshika shika matako hovyo wengine WAbatembea nae kabisa. Tuko maofisin tunayaona haya.

Oa mke anaekutii mfungulie biashara ya familia, watoto wakitoka shule mchana WAnaenda kujifunza maisha ya biashara na yeye anarudi nyumbani Kufanya shughuli za nyumbani ndogondogo. Haya ndio maisha ya Wahindi na namna wanavyolinda utajiri wa familia kizazi Kwa kizazi.


Sasa unamruhusu mkeo kuajiriwa mikoani Kwa mshahara WA laki 7 huku ukibaki mjini unatanga tanga kisa unataka msaidiane na Mke kulea watoto huo ujinga.


Mwanaume tafuta hela , tafuta Sana. Hakikisha Mali zako zote ziko chini ya majina yako halafu tafuta mwanamke mwenye vigezo tajwa. Vigezo vyako. Vigezo vyangu Mimi lazima awe tayari kutoajiriwa popote Ila tutajiajiri nae kwenye ofisi yetu tutakayoanzisha.


Haitakuja kutokea Mwanamke akawa Sawa na mwanaume. Never.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…