Malezi Duni na Utandawazi ndio Chanzo cha ongezeko la mijadala ya kupinga na kukosoa ndoa na maisha ya ndoa

Malezi Duni na Utandawazi ndio Chanzo cha ongezeko la mijadala ya kupinga na kukosoa ndoa na maisha ya ndoa

Masingle madha wa kujitakia (sio hawa waliofiwa na waume zao) ni moja ya sababu kubwa na vijana wa hovyo kwenye taifa la tanzania na dunia kwa ujumla wake ambao ndio hawa kutwa kucha wanaimba mashairi na ngonjera za kukataa na kuponda mahusiano matakatifu ya ndoa.

If I were a president kijana yoyote anayeingia kwenye mahusiano pasipo kuonesha muelekeo wa kuoa au kuolewa cha moto angekiona.
If I were a president kijana yoyote anayeingia kwenye mahusiano pasipo kuonesha muelekeo wa kuoa au kuolewa cha moto angekiona[emoji23]
 
Wanawake walioolewa wanayoyafanya mataani laiti waume zao wangejua wasingethubutu kuja hapa kusema ndoa zisivunjwe!

Wanaume waliooa ndio michepuko kibao,Ile maana ya ndoa sidhani kama IPO.

Ila mwisho WA siku ibaki kuwa chaguo la MTU kuoa au kutokuoa.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Wanaopinga ndoa ni waumini wa Alphabet LGBT
 
Vizuri kama umekuja kwenye maandiko, naomba unipe mstari japo mmoja tu kwenye biblia ambao Mungu alisema amemruhusu mwanaume kuchepuka au kuoa wake wengi, usinipe mifano ya manabii ambao walifanya hivyo kwa matakwa yao binafsi nataka agizo lililotoka kwa Mungu mwenyewe
Wewe kama umeolewa Mme wako ana tabu Sana na Kama hujaolewa wewe huna sifa ya kuwa mke otherwise ubadirike.

Nimesoma Maandiko yako kwenye huu Uzi.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu umeongea mengi ila bado sijaona kama umekuja kwenye hoja niliyoizungumzia in the first place, kwahiyo kwako ni kipi kinawezekana je wewe unaona inawezekana mwanamke aliyeajiriwa anayetoka nyumbani saa kumi na mbili asubuhi, na kurudi saa kumi na mbili jioni amechoka kama mumewe kufanya majukumu ya nyumbani ipasavyo

Hivi unajua kwamba kwa hao wazungu kazi za ndani pamoja na kulea watoto ni za wote mwanaume na mwanamke, kwamba yeyote atayewahi kurudi nyumbani kabla ya mwenzie basi atafanya au wakiona mambo ni mengi wanaweka msaidizi wa kazi, unajua kwamba kwa wazungu ni kawaida mwanaume kuamka asubuhi na kumuandalia mkewe breakfast huku mkewe kalala ilihali kwa waafrika itaonekana mume kakaliwa

Na unajua kwamba kwa waarabu mambo ni tofauti wao mwanamke anakaa tu ndani na mwanaume ndio anatafuta pesa na kuhudumia mke pamoja na watoto, sasa kwanini waafrika hamtaki kuchagua moja hapo kati ya kusaidiana wote majukumu yenu au kila mmoja afanye majukumu yake kikamilifu, yani ninyi mnataka mume afanye majukumu yake tu ila mke afanye majukumu yake na ya mume

Hilo la kusema kwamba mke akipata pesa ni za kwake bado halina mashiko sababu point ni kwamba bado anatafuta pesa, maana ilitakiwa akae ndani na jukumu la kumhudumia lilikuwa la mume ila kwa sababu ya ubinafsi wa wanaume wengi wa miaka hii na kukimbia majukumu, basi wanaona kama kuhudumia wake zao ni kama kuwafanyia favour

Na sababu kwanini wanawake wengi pesa zao wanatumia wenyewe ni hiyo niliyoisema kwamba wanaona bado majukumu ya nyumbani wanaachiwa wao, ndio maana nao hawaoni faida ya kusaidia majukumu yenu sababu ninyi hamtaki kusaidia ya kwao, lazima tuchague kimoja kusaidiana majukumu ya kila mmoja au kila mtu afanye majukumu yake ila siyo mwanamke afanye majukumu yote ya mwanaume na mwanamke

Sent from my S6 using JamiiForums mobile app
Ubaya wako unaokoteza life style za waarabu na westerners Sisi tukopi.

Mbona hutaki kuiga life style la wanawake WA kiarabu pale Saudi mwanamke anavaa nikabu Tu Ka kaolewa. Mbona na wewe huhimizi wanawake wa tanzania wavae nikabu wasiwe wanajaa suruali. Kila jamii ina tamaduni zake.

Mwanamke WA kitanzania kuvaa Dira na kuchomekea ni kawaida Ila huwezi kumwambia mwanamke WA kipalestina avae hivyo.

Hivyo basi tuna tamaduni tunatofautiana na wenzetu Hadi kwenye ndoa na majukumu Kati ya mke na Mme.

Mimi nimewahi kuwa na mahusiano na mwanamke kutoka France nilishindwana nae Kwasababu ya hizo 50% 50% nikamwambia Sisi hayo mambo kwetu hatujazoea. Sisi kwetu Africa mwamake ana nafasi na mwanamke ana nafasi yake. Yani mwanaume unapangiwa Hadi Ratiba ya kuosha vyombo huo si upuuzi.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Mimi naona Maisha ya Mtu kukaa single bila Attachment na Mwanamke ni mazuri Sana

Kula vizuri
Lala vizuri
Sali Sana
Kataa ndoa
Tafuta pesa kwa ajili yako na wazazi na wasiojiweza huu mradi wa Ndoa unawafaidisha wanawake tu.
Unaogopa majukumu mwamba hakuna maisha bomba kama ya ndoa
 
Hapana hawana nafasi kubwa kwangu bali wana nafasi yao kwangu hasa nikizingatia maandiko ya imani yangu ya kidini
Anhaa, kumbe wewe una zingatia maandiko ya dini yako basi ni sawa kwa upande wako. Mimi siishi katika maandiko ya dini yoyote.
 
Mkuu ubaya ni kwamba hilo mnalotaka ninyi katika hali ya kawaida haliwezekani, yani mwanamke anafanya kazi au biashara anatoka asubuhi na kurudi jioni halafu bado afanye majukumu ya nyumbani ipasavyo, huo ni uongo wa mchana kweupe na ni ubinafsi

Ndio maana nikasema lazima kila mtu achague kwenye ndoa mume na mke wakubaliane kati ya kuwa kama wazungu au kama waarabu, yani wote mume na mke watoke kutafuta pesa na wafanye wote kazi za nyumbani ama waweke msaidizi, au mume atoke kutafuta pesa na mke akae nyumbani afanye majukumu ya nyumbani

Na siyo kutaka eti mume afanye majukumu yake tu ila mke afanye majukumu yote ya mume pamoja na yake, yani mume atafute pesa tu ila mke atafute pesa, na bado afanye majukumu ya nyumbani peke yake
Hizi ndizo type zilizo kuwepo Mshana Jr nazani umeziona na bahati mbaya wanaume siku hizi nao wapo kwenye mode ya POTELEA MBALI.
 
Mapadri na watawa nao ni wapinga ndoa? Labda Ile sakramenti iliyowekwa na kanisa inawalinda.
 
Anhaa, kumbe wewe una zingatia maandiko ya dini yako basi ni sawa kwa upande wako. Mimi siishi katika maandiko ya dini yoyote.
Tofauti yetu iko hapo .. Lakini ni dhahiri ulichokisema ni uongo mkubwa sana
 
Mkuu ubaya ni kwamba hilo mnalotaka ninyi katika hali ya kawaida haliwezekani, yani mwanamke anafanya kazi au biashara anatoka asubuhi na kurudi jioni halafu bado afanye majukumu ya nyumbani ipasavyo, huo ni uongo wa mchana kweupe na ni ubinafsi

Ndio maana nikasema lazima kila mtu achague kwenye ndoa mume na mke wakubaliane kati ya kuwa kama wazungu au kama waarabu, yani wote mume na mke watoke kutafuta pesa na wafanye wote kazi za nyumbani ama waweke msaidizi, au mume atoke kutafuta pesa na mke akae nyumbani afanye majukumu ya nyumbani

Na siyo kutaka eti mume afanye majukumu yake tu ila mke afanye majukumu yote ya mume pamoja na yake, yani mume atafute pesa tu ila mke atafute pesa, na bado afanye majukumu ya nyumbani peke yake
Kwanza ni ujinga kuoa halafu mke wako unamruhusu kuenda kuajiriwa kwenye ofisi za wanaume wenzio wanamshika shika matako hovyo wengine WAbatembea nae kabisa. Tuko maofisin tunayaona haya.

Oa mke anaekutii mfungulie biashara ya familia, watoto wakitoka shule mchana WAnaenda kujifunza maisha ya biashara na yeye anarudi nyumbani Kufanya shughuli za nyumbani ndogondogo. Haya ndio maisha ya Wahindi na namna wanavyolinda utajiri wa familia kizazi Kwa kizazi.

Sasa unamruhusu mkeo kuajiriwa mikoani Kwa mshahara WA laki 7 huku ukibaki mjini unatanga tanga kisa unataka msaidiane na Mke kulea watoto huo ujinga.

Mwanaume tafuta hela , tafuta Sana. Hakikisha Mali zako zote ziko chini ya majina yako halafu tafuta mwanamke mwenye vigezo tajwa. Vigezo vyako. Vigezo vyangu Mimi lazima awe tayari kutoajiriwa popote Ila tutajiajiri nae kwenye ofisi yetu tutakayoanzisha.

Haitakuja kutokea Mwanamke akawa Sawa na mwanaume. Never.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Malezi duni
Screenshots_2023-02-09-16-14-04.jpg
 
Back
Top Bottom