ASIWAJU kwa mtazamo wa haraka hakuna tatizo kabisa mtu asipooa au kuolewa.. Lakini huu ni mtazamo wa ujanani unapokuwa damu inachemka na una nguvu ya kufanya karibu kila kitu mwenyewe na huna changamoto yoyote ya maisha1. Kwani kuna tatizo/madhara mtu asipo oa au olewa ?
2. Kwani ndoa ni swala la lazima au hiari ?
3. Umuhimu wa ndoa upo wapi ambao hawaja oa wana ukosa ?
Naomba mleta mada unipatie majawabu ya hayo maswali matatu ya mwanzo.
Me kwa upande wangu nikitazama mabinti wa umri wa miaka kati ya 18 hadi 30 hawajaandaliwa kabisa kwaajiri ya ndoa. Infact wanaona kuolewa ni kumsaidia mwanaume jambo ambalo si kweli.Mshana Jr na Robert Heriel
Robert anaunga mkono kataa ndoa campaign akiwakilisha vijana wa kiume
Na Jr anakataa hoja akiwatetea dada zetu ambao kila siku Wanazidi kupoteza potential
Kwa hyo hao wazazi wako walishushwa mbiguni ..Haukuzaliwa kuja kumtumikia mzazi wako inawezekana hata wazazi wako hawajwahi kusaidia wazazi wao.
Tengeneza familia yako na mwanamke mweny heshima wako kibao we endelea kufauta hawa sijui mmekutana chuo ,sijui KKwhiyo
Mmmmmmhmn sijajua umetumia mtazamo gani kusema kisababishi ni mwanaume.Hizi hofu ni madhaifu na mapungufu katika ndoa.. Ukiona mwanamke anachepuka kisababishi kwa asilimia 90 ni mwanaume nina mifano ya kutosha
Sent from my LM-V500N using JamiiForums mobile app
Vijana wa skuhzi bana unaweza kukuta vitu vya muhimu anavyoongelea ni kucheza game na washkaji(PS5), kutafuta bia za bure kwa wanao waita mablaza.
Akifika miaka 50 tu hapo anaanza kukurupuka fastafasta na kuanza kijilaumu huku akiwa na msongo wa mawazo ,presha na magonjwa yanayo sababishwa na upweke.....haya ni maneno alitakiwa ayaandike mdada aisee
mwanaume unatakiwa uoe , uwe kichwa na uongoze familia
vinginevyo una fail ile mbaya
Hii sio kweli. Kwan kuelimika kuna uhusiano gani na mapenzi? Wewe umeenda kusomea profession fulani umehitimu, kuna sehemu kule chuo wanafundisha elimu ya mapenzi?!Hapo umeongea ukweli.
Wanawake wameelimika na imekuwa ni changamoto kwa vijana wa kiume wasio jiamini.
The future is Female.
Vijana wa skuhzi bana unaweza kukuta vitu vya muhimu anavyoongelea ni kucheza game na washkaji(PS5), kutafuta bia za bure kwa wanao waita mablaza.
Wanaishia kupiga mitungo binti mmoja, au hata wao wenyewe kujiingiza kwenye kukatwa wakitaka maisha ya haraka juu ya uwezo wao nakutaka kuonekana wako vizuri kwa washkaj zao.
View attachment 2509036Vijana wa skuhzi bana unaweza kukuta vitu vya muhimu anavyoongelea ni kucheza game na washkaji(PS5), kutafuta bia za bure kwa wanao waita mablaza.
Wanaishia kupiga mitungo binti mmoja, au hata wao wenyewe kujiingiza kwenye kukatwa wakitaka maisha ya haraka juu ya uwezo wao nakutaka kuonekana wako vizuri kwa washkaj zao.
Shida ilianza pale wale upande wa pili kundi la 50/50 walipoanza kampeni ya kumtoa mwanamke nyumbani ili nae aishi kiholela kama mwanaume.Ilivyo hivi sasa ni kwamba maisha yamekuwa magumu na uwezekano wa kustawisha ndoa ni mgumu sana, unaweza kuwa na ndoa lakini kama huna uhakika wa kipato basi uwezekano wa mke kuwa wa kijiji kizima ni mkubwa.
Ustawi wa ndoa unaanza na mfumo wa maisha katika nchi husika, vinginevyo hata ingehubiriwa kila kona vijana waoe kama mifumo imeyumba tusitegemee kustawi kwa ndoa, narejea takwimu kwamba Dar ina ndoa 300 zinazovunjika kila mwezi sawa na ndoa 10 kwa siku.
Kabla hatujawalaumu wanao kampenia kutokuoa tutazame ni wapi kama taifa tumekosea ili marekebisho yafanyike kwa kuzingatia makosa yaliyofanywa katika ngazi ya mtu mmoja mmoja, familia, mtaa, kijiji, Kata, Wilaya Mkoa na hata Taifa, Imani za dini, itikadi za kisiasa nk
Hapa Mshana Jr aliteleza kwakweli na atutake radhi wanaume wote. Maana kimsingi amezungumza wazo la kike kwa sauti ya kiume jambo ambalo ni batili kibailojia na kisiasa.Mshana Jr hii ni Feminine Ideology. kama Mwanaume hutakiwi kuzungumza kauli ya namna hio unapowashauri Vijana. Weka Mzani sawa ili kila mtu ajue wajibu wake anapoingia huko kwenye NDOA.
Kuchepuka 99% ni tabia na maamuzi ya Mtu, hakuna Bahati mbaya wala kusababishiwa. hizo ni Excuse tu. Uchepukaji ni Maamuzi ya mtu husika. Kisababishi ni yeye mwenyewe.
Kwenye hiyo Mifano yako ya kutosha naomba hata Mitatu utuonyeshe namna Mwanaume anasababisha Mwanamke kuchepuka. May be definition ya kuchepuka tunatofautiana.
Wengi wanafeerwa ndio maana hukataa ndoaWanaokomalia hii kampeni wengi ndo hao hao wanaofanya kampeni ya mapenzi ya jinsia moja., na wengine ni kukwepa majukumu.
Hatukatai kwamba ndoa zina matatizo mengi tu lakini haimaanishi ya kwamba kila ndoa ina matatizo, wapo wanaoishi vizuri bila tatizo.
Na wanaposema tukatae ndoa ina maana watu waache kuzaliana? Au ndo wanafurahia ongezeka la single mothers?
Mwanamke anachoka kweli akikutana na baharia analiwa nje ndio migogoro huanzia hapo.Shida ilianza pale wale upande wa pili kundi la 50/50 walipoanza kampeni ya kumtoa mwanamke nyumbani ili nae aishi kiholela kama mwanaume.
Wewe mwanamke anatoka nyumbani saa 12 asubuhi anarejea saa moja au mbili jioni. Hiyo bondi na familia inaanzia wapi au hayo majukumu ya mke anayatekeleza saa ngapi?
Mwisho wa siku ndio watu wanaishi maisha kama digi digi kuvumiliana utu uzima ukiingia ukikaa na mkeo unaona kama umekaa na mwanamke wa jirani ambaye haumfahamu.
Jambo lingine, tazama hawa wanawake ambao wapo busy na mishe mishe za utafutaji, wengi wao ukiwatazama ni wanajitesa tu, maana wanachokipambani ni kile kile ambacho kinapambaniwa katika ndoa, kujenga sehemu ya kuishi na kumiliki assets za kuendeshea maisha, kazi ambayo huwa rahisi sana kama mkiwa wawili na huchukua muda mfupi sana.
Kipengele hiko kuboresha ndio jambo la msingi, ndoa imara ni ile yenye mwanamke mtulivu na baba mwenye uhakika wa kipato.Ilivyo hivi sasa ni kwamba maisha yamekuwa magumu na uwezekano wa kustawisha ndoa ni mgumu sana, unaweza kuwa na ndoa lakini kama huna uhakika wa kipato basi uwezekano wa mke kuwa wa kijiji kizima ni mkubwa.
Ustawi wa ndoa unaanza na mfumo wa maisha katika nchi husika, vinginevyo hata ingehubiriwa kila kona vijana waoe kama mifumo imeyumba tusitegemee kustawi kwa ndoa, narejea takwimu kwamba Dar ina ndoa 300 zinazovunjika kila mwezi sawa na ndoa 10 kwa siku.
Kabla hatujawalaumu wanao kampenia kutokuoa tutazame ni wapi kama taifa tumekosea ili marekebisho yafanyike kwa kuzingatia makosa yaliyofanywa katika ngazi ya mtu mmoja mmoja, familia, mtaa, kijiji, Kata, Wilaya Mkoa na hata Taifa, Imani za dini, itikadi za kisiasa nk
Hayo yoote siyo kigezo cha kusema ndoa siyo jambo zuri.Unawezaje kufuga ng'ombe wakati maziwa yapo mengi tena mengine unapewa bure kabisa.
Watu walioa au kuolewa wanaishi kama hawako kwenye ndoa.
Nina ushahidi
1. Wanawake waliolewa wanazaa nje. Kuna mwanamke kazaa na mchepuko watoto 2 na mwanaume hajui. Watu wanalea watoto wa nje bila kujua
2. Nilishawahi kutembea na wanawake za watu. Mwingine nilimjaribu anizalie mtoto akakubali.
Kama hawa wanafanya hivi, kuna haja gani ya kuoa? Wake za watu wanaliwa sana mpk unapata hofu ya kuoa
Hili wamelitafuta muda sana na sasa limetimia. Wanasema mchuma janga hula na kwao. Wanawake kwa muda mrefu kupitia kampeni za maswala ya ndoa wamekuwa wakituchokonoa wanaume kwa kila namna wakihisi wanatumudu kumbe kuna wasilolifahamu kuhusu baiojia ya kiume.Hatuoi mkuu ndo mtajua hamjui tumechoka ujambazi naa wizi.
Kuoa mwanamke asiye na elimu na kujielewa ndiyo chanzo cha kupata changamoto nyingi kwenye ndoa,Sasa mjomba kama mkeo naye anafanya kazi unafikiri anatimizaje majukumu ya nyumbani vizuri
Si tumekubaliana maisha ni kusaidiana sasa mbona ninyi mnataka kusaidiwa majukumu yenu ila ya wenzenu hamtaki kusaidia
Kama hamuwezi kufanya kazi za nyumbani basi oeni wanawake wasio na elimu ili wawe mama wa nyumbani watimize hayo majukumu na muwahudumie kwa kila kitu
Sent from my S6 using JamiiForums mobile app