Malezi Duni na Utandawazi ndio Chanzo cha ongezeko la mijadala ya kupinga na kukosoa ndoa na maisha ya ndoa

Malezi Duni na Utandawazi ndio Chanzo cha ongezeko la mijadala ya kupinga na kukosoa ndoa na maisha ya ndoa

Kwa dunia ya leo ndoa inaonekana ya kawaida tu, hata watu wakipendana wakafunga ndoa inakua maigizo mengi mwishowe kila mtu anachoka kuigiza ndoa inavunjika, kama unaweza kupata huduma zote bila kuwa ndoa, unafunga ndoa ili iweje? Nafikiri bado kuna mahali jamii ijirekebishe ili ndoa iwe kimbilio,baadhi ya visa vya wanandoa vinawakata tamaa vijana kuingia kwenye ndoa.

Kama jamii tukae tuliangalie suala la ndoa kwa undani halafu tutakuja kugundua tatizo ni nini? Ni rahisi sana kutoa ushauri wa kuingia katika ndoa, lakini ukishaingia kwenye ndoa ndiyo utajuwa hujuwi.
 
1. HATUNA UTAMADUNI WA KUFANYA TAFITI, KAMA WENZETU.
UKWELI NI KWAMBA WANAUME WASIO OA WANA MAISHA MAZURI NA MAREFU KULINGANISHA NA WALIOKO KWENYE NDOA

2. HIVI SBB HASA YA WAPINGA NDOA NI NINI? NI HIZO ULIZO TAJA? KUNA SBB ZA MSINGI (1.UTANDAWAZI, 2. HARAKATI CHAFU ZA KUMUINUA MWANAMKE!)

3.HIVI HIZI NDOA ZA SASA NI ZILE ZILIZOKUSUDIWA NA MUNGU?
 
Ukiona bidhaa yako hainunuliwi usilazimishe watu wainunue kwa nguvu.. iboreshe ili ipande viwango then utaona itakavyo gombaniwa.. Muanzishe nyuzi za kuwafunda hao binti zenu.. kama wanakaa kaa uchi lazima tutawafunua tu hehehe.. alafu hatuwaoi n'goo msianze kusingizia sijui ndoa ni za wanaume kamili wala nini.. bora pengo kuliko jino bovu..
Wanawake ndo wanufaika wakuu wa Ndoa, hilo liko wazi.. hawana faida kwa wanaume japo sio wote! Ila Mimi nitaoa
 
True unamlea mtoto vibaya ukijua utoishi nae shida atakutana nayo muolewa au muoji.
Mtoto yeyeto ni mke na mume wa mtu mtarajiwa. Mtoto sio wa mzazi kapewa tu jukumu la kumlea tena kwa muda tu. Mda wa kukaa kwenye ndoa ni mara mbili ya mda mtoto ukaa kwa mzazi. Mfano kwa mzazi ukizidi utaishi miaka 25,hali kwenye ndoa utaishi miaka 50
 
True unamlea mtoto vibaya ukijua utoishi nae shida atakutana nayo muolewa au muoji.
Mtoto yeyeto ni mke na mume wa mtu mtarajiwa. Mtoto sio wa mzazi kapewa tu jukumu la kumlea tena kwa muda tu. Mda wa kukaa kwenye ndoa ni mara mbili ya mda mtoto ukaa kwa mzazi. Mfano kwa mzazi ukizidi utaishi miaka 25,hali kwenye ndoa utaishi miaka 50
 
Njia sahihi kwa sasa ni bora uishi na mtu kwanza uijue tabia yake Ili usiharibu cheti cha ndoa.
Uchumba sugu huwa hawaachani,
 
Kijana oa lakini kuwa makini.mana wanawake sio mauatena bali wamegeuka kuwa mashetani🤣🤣unaweza ukawa chizi bila kujijua..maamae🤣😂
 
Wanaokomalia hii kampeni wengi ndo hao hao wanaofanya kampeni ya mapenzi ya jinsia moja., na wengine ni kukwepa majukumu.
Hatukatai kwamba ndoa zina matatizo mengi tu lakini haimaanishi ya kwamba kila ndoa ina matatizo, wapo wanaoishi vizuri bila tatizo.
Na wanaposema tukatae ndoa ina maana watu waache kuzaliana? Au ndo wanafurahia ongezeka la single mothers?
Ww dada fikiri vzur unajua maana ya ndoa au unaropoka tu? Kwan ili uzaliane lazima uwe na ndoa nikiimaanisha cheti kilichosainiwa kisheria?
 
Kichaa ,siwezi kukupangia hata ufanye uwizi ni juuu lako..Kuleta kampeni na kushawishi watu ndo hatutaki.
Mkuu hili ni jukwaa huru nipo na mke na mtoto ila akigusia ndoa nafukuzia mbali
 
Mkuu Mimi naona Maisha ya Mtu kukaa single bila Attachment na Mwanamke ni mazuri Sana

Kula vizuri
Lala vizuri
Sali Sana
Kataa ndoa
Tafuta pesa kwa ajili yako na wazazi na wasiojiweza huu mradi wa Ndoa unawafaidisha wanawake tu.
Aidha binafsi uwe na kitu na mwanamke awe na kitu ndio muungane hakuna kupeana lift, na mali ya kila mmoja itambulike hapo ndipo upendo wa kweli utajidhihirisha.
Kila siku huwa nasema wanawake HAWANA UPENDO WA KWELI KABISA zaidi ya kinyemela fedha zako, ngoja zikuishie ndipo utajua mpendwa alikuwa ni fedha na si wewe, pumbavu sana.
 
Back
Top Bottom