Banjuka
JF-Expert Member
- May 7, 2021
- 1,007
- 1,922
Kwa dunia ya leo ndoa inaonekana ya kawaida tu, hata watu wakipendana wakafunga ndoa inakua maigizo mengi mwishowe kila mtu anachoka kuigiza ndoa inavunjika, kama unaweza kupata huduma zote bila kuwa ndoa, unafunga ndoa ili iweje? Nafikiri bado kuna mahali jamii ijirekebishe ili ndoa iwe kimbilio,baadhi ya visa vya wanandoa vinawakata tamaa vijana kuingia kwenye ndoa.
Kama jamii tukae tuliangalie suala la ndoa kwa undani halafu tutakuja kugundua tatizo ni nini? Ni rahisi sana kutoa ushauri wa kuingia katika ndoa, lakini ukishaingia kwenye ndoa ndiyo utajuwa hujuwi.