Malezi Duni na Utandawazi ndio Chanzo cha ongezeko la mijadala ya kupinga na kukosoa ndoa na maisha ya ndoa

Malezi Duni na Utandawazi ndio Chanzo cha ongezeko la mijadala ya kupinga na kukosoa ndoa na maisha ya ndoa

1. Kwani kuna tatizo/madhara mtu asipo oa au olewa ?

2. Kwani ndoa ni swala la lazima au hiari ?

3. Umuhimu wa ndoa upo wapi ambao hawaja oa wana ukosa ?

Naomba mleta mada unipatie majawabu ya hayo maswali matatu ya mwanzo.
ASIWAJU kwa mtazamo wa haraka hakuna tatizo kabisa mtu asipooa au kuolewa.. Lakini huu ni mtazamo wa ujanani unapokuwa damu inachemka na una nguvu ya kufanya karibu kila kitu mwenyewe na huna changamoto yoyote ya maisha

Swali la pili ndoa si suala la lazima au hiari bali ni uamuzi binafsi

Umuhimu wa ndoa huonekana nyakati za shida kubwa, upweke changamoto za kimaisha, magonjwa na uzee.. Kuna mahali unafika unahitaji wa kukuhudumia na kukusaidia maana hujiwezi tena! Huyo hawezi kuwa mzazi ndugu, mtoto ama rafiki
Kuna nyakati unamhitaji mtu wa kukaa naye na kumweleza hisia zako, maumivu yako furaha yako maono yako nk
Katikati ya hali zote hizi na nyinginezo mtu huyo si mwingine bali ni mke au mume
 
Kanuni n moja tu ukikataa kuoa jua bhas kuna siku utaolewa trust me hata kama sio ww huyo mtt utayemzaa nje ya ndoa atakuja kuolewa kama n wa kiume coz kazaliwa na baba ambaye ana vi element vya kuolewa bqdae mtakuja kunielewq
 
Mshana Jr na Robert Heriel
Robert anaunga mkono kataa ndoa campaign akiwakilisha vijana wa kiume
Na Jr anakataa hoja akiwatetea dada zetu ambao kila siku Wanazidi kupoteza potential
Me kwa upande wangu nikitazama mabinti wa umri wa miaka kati ya 18 hadi 30 hawajaandaliwa kabisa kwaajiri ya ndoa. Infact wanaona kuolewa ni kumsaidia mwanaume jambo ambalo si kweli.

Mwanamke ndie muhitaji wa ndoa maana bila ya kuwa ndani ya ndoa mwanamke anakuwa katika hali mbaya sana kimaisha. Kila analofanya huko nje ana risk kulala na wanaume ili kulipata na hata asipolala nao basi anajiweka mazingira ya kufanyiwa figisu na wanawake wenzake.
 
Kwahyo hao wa chuo na weupe hawafai 😂😂
Kwa hyo hao wazazi wako walishushwa mbiguni ..Haukuzaliwa kuja kumtumikia mzazi wako inawezekana hata wazazi wako hawajwahi kusaidia wazazi wao.

Tengeneza familia yako na mwanamke mweny heshima wako kibao we endelea kufauta hawa sijui mmekutana chuo ,sijui KKwhiyo
 
Hawa ndio vinara wa kupinga ndoa.. Vijana wa hovyo.. Hapo anaona kafanya bonge la tukio la kijanja kumbe lofa tuu
20230207_055842.jpg
 
Hizi hofu ni madhaifu na mapungufu katika ndoa.. Ukiona mwanamke anachepuka kisababishi kwa asilimia 90 ni mwanaume nina mifano ya kutosha

Sent from my LM-V500N using JamiiForums mobile app
Mmmmmmhmn sijajua umetumia mtazamo gani kusema kisababishi ni mwanaume.

Inawezekana umemaanisha kuwa mwanamke anayemsaliti mume wake inachochewa na mwanaume wa nje anaekuja kumendea mke wa mtu hapo nitasema ni sahihi katika eneo la "ukiona mwanamke anachepuka kisababishi kwa asilimia 90 ni mwanaume".

But kama unasema ndani ya ndoa mwanamke anatoka nje kusaliti kwasababu kasababishiwa na mwanaume aliye nae ndani ya ndoa, hapo nitakupinga sana.

Mwanaume hadi anaweka mwanamke ndani na kusema huyu ndie mke wangu kwa hiyari yake bila shinikizo au kulazimishwa then hapo toa fikra kuwa akitoka nje kaamua kusaliti.

Mwanaume kusaliti ni kumkana mwanamke kutoka moyoni na kumreplace na mwanamke mpya, sio kulala na mwanamke nje ya mkewe, huko sio kusaliti kiume. However, kwa mwanamke kitendo cha kwenda kinyume na maagizo au maelekezo halali na ya hekima ya mume wake hapo ndipo kusaliti huanzia. Kwasababu, mwanaume jukumu lake ni moja tu kumpenda mke wake kwa maana ya kumtunza na kumlinda kama kinda la ndege wakati mwanamke jukumu lake ni kutii na kuheshimu mwanaume wake kabla ya mtu mwingine yoyote au mamlaka zingine zozote.
 
Kamwe usiache vitu vyako vya msingi ukakimbilia ndoa utakuja kujuta

Mboka man
Vijana wa skuhzi bana unaweza kukuta vitu vya muhimu anavyoongelea ni kucheza game na washkaji(PS5), kutafuta bia za bure kwa wanao waita mablaza.
Wanaishia kupiga mitungo binti mmoja, au hata wao wenyewe kujiingiza kwenye kukatwa wakitaka maisha ya haraka juu ya uwezo wao nakutaka kuonekana wako vizuri kwa washkaj zao.
 
haya ni maneno alitakiwa ayaandike mdada aisee
mwanaume unatakiwa uoe , uwe kichwa na uongoze familia
vinginevyo una fail ile mbaya
Akifika miaka 50 tu hapo anaanza kukurupuka fastafasta na kuanza kijilaumu huku akiwa na msongo wa mawazo ,presha na magonjwa yanayo sababishwa na upweke.....
 
Hapo umeongea ukweli.
Wanawake wameelimika na imekuwa ni changamoto kwa vijana wa kiume wasio jiamini.
The future is Female.
Hii sio kweli. Kwan kuelimika kuna uhusiano gani na mapenzi? Wewe umeenda kusomea profession fulani umehitimu, kuna sehemu kule chuo wanafundisha elimu ya mapenzi?!

Kuna mtaalamu wa saikolojia alisema maneno ya msingi sana, nitayarejea, alisema katika haya maisha ukikutana na mtu mjinga mwenye confidence ni moja wapo ya mtihani mkubwa sana ambao haufanyiki kirahisi.

Nilimuelewa sana huu mstari na tunaweza kuutumia katika huu mjadala wetu.

Wanawake wengi wa sasa tunaweza kusema wameelimishwa taaluma za kazi ila taaluma yao wenyewe yaani uanaumke wanajua vichache sana kuhusu uanaumke na namna ya kuwa mwanamke. Hii tafsiri yake ni kuwa majority ya wanawake wanaograduate masomo ya taaluma za kazi ila wapo zero educated kuhusu taalumu muhimu na kipaumbele ya maisha yao yaani uanaumke. Hiyo inawafanya kuishi haya maisha wakiwa wajinga kwa kukosa elimu hii nyeti.

Jana nilikuwa natazama kipindi cha dadaz kinachorushwa channel 5. Wale wadada walikuwa wanashindwa kujua mafunzo asilia ya jinsia anayopewa mtoto wa kike yanaitwaje, Jando au Unyago? Na walikuwa wanaponda wakisema hayo mambo yamepitwa na wakati. Na wakaponda zaidi elimu ya Ndoa inayotolewa. Nilisikitika ila siku shangaa maana zile ndio sampuli ambazo kila wiki zinakutana na nyuchi za wanaume hata sita tofauti.

Kiukweli, wanawake wa sasa mnakidhalilisha kizazi chetu especially jamii ya mwafrika. Hamjui mnasimama wapi ndio maana m'mevurugwa sana vichwa na 9 kati ya kumi kwa wastani hamna vigezo vya kuwa mke wa mtu na hivyo mnakosa sababu ya kuwa mama wa familia.

Ila ubishi wenu wa kutokubali share yenu ya ujinga na kukosa akili ya kuwa mwanamke ndio inaligharimu taifa na jamii ya mtu mweusi. Ipo siku miaka ijayo wajukuu wetu watawasoma kama kundi la ajabu la wanawake kuwahi kutokea hapa ulimwenguni. Ushahidi wa haya mnayoyasema na kuyaandika yatadhihirisha namna sisi babu zao tulikutana na wanawake wa hovyo kuliko vizazi vyote.

Wacha laana iendelee.
 
Vijana wa skuhzi bana unaweza kukuta vitu vya muhimu anavyoongelea ni kucheza game na washkaji(PS5), kutafuta bia za bure kwa wanao waita mablaza.
Wanaishia kupiga mitungo binti mmoja, au hata wao wenyewe kujiingiza kwenye kukatwa wakitaka maisha ya haraka juu ya uwezo wao nakutaka kuonekana wako vizuri kwa washkaj zao.
20230207_055842.jpg
 
Vijana wa skuhzi bana unaweza kukuta vitu vya muhimu anavyoongelea ni kucheza game na washkaji(PS5), kutafuta bia za bure kwa wanao waita mablaza.
Wanaishia kupiga mitungo binti mmoja, au hata wao wenyewe kujiingiza kwenye kukatwa wakitaka maisha ya haraka juu ya uwezo wao nakutaka kuonekana wako vizuri kwa washkaj zao.
View attachment 2509036
 
Ilivyo hivi sasa ni kwamba maisha yamekuwa magumu na uwezekano wa kustawisha ndoa ni mgumu sana, unaweza kuwa na ndoa lakini kama huna uhakika wa kipato basi uwezekano wa mke kuwa wa kijiji kizima ni mkubwa.

Ustawi wa ndoa unaanza na mfumo wa maisha katika nchi husika, vinginevyo hata ingehubiriwa kila kona vijana waoe kama mifumo imeyumba tusitegemee kustawi kwa ndoa, narejea takwimu kwamba Dar ina ndoa 300 zinazovunjika kila mwezi sawa na ndoa 10 kwa siku.

Kabla hatujawalaumu wanao kampenia kutokuoa tutazame ni wapi kama taifa tumekosea ili marekebisho yafanyike kwa kuzingatia makosa yaliyofanywa katika ngazi ya mtu mmoja mmoja, familia, mtaa, kijiji, Kata, Wilaya Mkoa na hata Taifa, Imani za dini, itikadi za kisiasa nk
Shida ilianza pale wale upande wa pili kundi la 50/50 walipoanza kampeni ya kumtoa mwanamke nyumbani ili nae aishi kiholela kama mwanaume.

Wewe mwanamke anatoka nyumbani saa 12 asubuhi anarejea saa moja au mbili jioni. Hiyo bondi na familia inaanzia wapi au hayo majukumu ya mke anayatekeleza saa ngapi?

Mwisho wa siku ndio watu wanaishi maisha kama digi digi kuvumiliana utu uzima ukiingia ukikaa na mkeo unaona kama umekaa na mwanamke wa jirani ambaye haumfahamu.

Jambo lingine, tazama hawa wanawake ambao wapo busy na mishe mishe za utafutaji, wengi wao ukiwatazama ni wanajitesa tu, maana wanachokipambani ni kile kile ambacho kinapambaniwa katika ndoa, kujenga sehemu ya kuishi na kumiliki assets za kuendeshea maisha, kazi ambayo huwa rahisi sana kama mkiwa wawili na huchukua muda mfupi sana.
 
Mshana Jr hii ni Feminine Ideology. kama Mwanaume hutakiwi kuzungumza kauli ya namna hio unapowashauri Vijana. Weka Mzani sawa ili kila mtu ajue wajibu wake anapoingia huko kwenye NDOA.

Kuchepuka 99% ni tabia na maamuzi ya Mtu, hakuna Bahati mbaya wala kusababishiwa. hizo ni Excuse tu. Uchepukaji ni Maamuzi ya mtu husika. Kisababishi ni yeye mwenyewe.

Kwenye hiyo Mifano yako ya kutosha naomba hata Mitatu utuonyeshe namna Mwanaume anasababisha Mwanamke kuchepuka. May be definition ya kuchepuka tunatofautiana.
Hapa Mshana Jr aliteleza kwakweli na atutake radhi wanaume wote. Maana kimsingi amezungumza wazo la kike kwa sauti ya kiume jambo ambalo ni batili kibailojia na kisiasa.
 
Wanaokomalia hii kampeni wengi ndo hao hao wanaofanya kampeni ya mapenzi ya jinsia moja., na wengine ni kukwepa majukumu.
Hatukatai kwamba ndoa zina matatizo mengi tu lakini haimaanishi ya kwamba kila ndoa ina matatizo, wapo wanaoishi vizuri bila tatizo.
Na wanaposema tukatae ndoa ina maana watu waache kuzaliana? Au ndo wanafurahia ongezeka la single mothers?
Wengi wanafeerwa ndio maana hukataa ndoa
 
Shida ilianza pale wale upande wa pili kundi la 50/50 walipoanza kampeni ya kumtoa mwanamke nyumbani ili nae aishi kiholela kama mwanaume.

Wewe mwanamke anatoka nyumbani saa 12 asubuhi anarejea saa moja au mbili jioni. Hiyo bondi na familia inaanzia wapi au hayo majukumu ya mke anayatekeleza saa ngapi?

Mwisho wa siku ndio watu wanaishi maisha kama digi digi kuvumiliana utu uzima ukiingia ukikaa na mkeo unaona kama umekaa na mwanamke wa jirani ambaye haumfahamu.

Jambo lingine, tazama hawa wanawake ambao wapo busy na mishe mishe za utafutaji, wengi wao ukiwatazama ni wanajitesa tu, maana wanachokipambani ni kile kile ambacho kinapambaniwa katika ndoa, kujenga sehemu ya kuishi na kumiliki assets za kuendeshea maisha, kazi ambayo huwa rahisi sana kama mkiwa wawili na huchukua muda mfupi sana.
Mwanamke anachoka kweli akikutana na baharia analiwa nje ndio migogoro huanzia hapo.
 
Ilivyo hivi sasa ni kwamba maisha yamekuwa magumu na uwezekano wa kustawisha ndoa ni mgumu sana, unaweza kuwa na ndoa lakini kama huna uhakika wa kipato basi uwezekano wa mke kuwa wa kijiji kizima ni mkubwa.

Ustawi wa ndoa unaanza na mfumo wa maisha katika nchi husika, vinginevyo hata ingehubiriwa kila kona vijana waoe kama mifumo imeyumba tusitegemee kustawi kwa ndoa, narejea takwimu kwamba Dar ina ndoa 300 zinazovunjika kila mwezi sawa na ndoa 10 kwa siku.

Kabla hatujawalaumu wanao kampenia kutokuoa tutazame ni wapi kama taifa tumekosea ili marekebisho yafanyike kwa kuzingatia makosa yaliyofanywa katika ngazi ya mtu mmoja mmoja, familia, mtaa, kijiji, Kata, Wilaya Mkoa na hata Taifa, Imani za dini, itikadi za kisiasa nk
Kipengele hiko kuboresha ndio jambo la msingi, ndoa imara ni ile yenye mwanamke mtulivu na baba mwenye uhakika wa kipato.

Sasa situation ilivyo sahizi mwanamke ndio anapigiwa kampeni aende kazini nafasi zikitoka zote wanapewa wao mwishowe mwanaume anazidiwa kipato au anakosa kabisa mchongo anaanza ku tag kwa mke wake.

Mwisho wa siku ni ndoa ku corrupt sababu mke akikutana na wahuni huko nje wakamrubuni anaanza dharau mwisho ni kupigana chini tu.
 
Unawezaje kufuga ng'ombe wakati maziwa yapo mengi tena mengine unapewa bure kabisa.
Watu walioa au kuolewa wanaishi kama hawako kwenye ndoa.
Nina ushahidi
1. Wanawake waliolewa wanazaa nje. Kuna mwanamke kazaa na mchepuko watoto 2 na mwanaume hajui. Watu wanalea watoto wa nje bila kujua
2. Nilishawahi kutembea na wanawake za watu. Mwingine nilimjaribu anizalie mtoto akakubali.
Kama hawa wanafanya hivi, kuna haja gani ya kuoa? Wake za watu wanaliwa sana mpk unapata hofu ya kuoa
Hayo yoote siyo kigezo cha kusema ndoa siyo jambo zuri.
Hapo umeongelea tabia za mtu binafsi ambapo mara nyingi kunasababishwa na:
1. Kukurupuka kuingia kwenye ndoa bila kujua tabia halisi za mwenza wako na kama utaweza kuishi nazo.
2.Kufuata maneno ya watu kama marafiki na kuwaskiliza zaidi, kuwapa nafasi zaidi ya mweza wako.
3.Tabia zisizofaa zinazoletwa na kutokuwa na ukomavu wa kihisia kama wivu meingi,kujimwambafy navitu vya aina hiyo.

KUBWA ZAIDI

4. Kuto kufahami ndoa ni taasisi na nyie wawili ni shareholders(washika mtaji)ambapo 45% mwanamke na 55% mwanaume ,
kila mmoja lazima aelekeze nguvu kubwa kuhakikisha taasisi inakua,
kila mmoja lazima achangie na aruhusiwe kuchangia katika kukuza taasisi,
kila mmoja lazima ajue nafasi yake,
kila mmoja lazima ajitoe na kuishi maisha yake kwaajili ya taasisi na siyo kwa ajili yake mwenyewe yaani anapofanya maamuzi yoyote ni lazima kufikiria taasisi kwanza na madhragani chanya au hasi maamuzi yako yanaweza kuilete taasisi,
KUTOKUWEKA HISIA ZAKO MBELE BALI MAENDELEO CHANYA YA TAASISI

Ndoa ni kujikana na kutupa mbali umimi kwa wote wawili, kwama huwezi hilo au haujapata mtu wa hivyo usiingie kwenye ndoa
 
Hatuoi mkuu ndo mtajua hamjui tumechoka ujambazi naa wizi.
Hili wamelitafuta muda sana na sasa limetimia. Wanasema mchuma janga hula na kwao. Wanawake kwa muda mrefu kupitia kampeni za maswala ya ndoa wamekuwa wakituchokonoa wanaume kwa kila namna wakihisi wanatumudu kumbe kuna wasilolifahamu kuhusu baiojia ya kiume.

Ndoa ilitengenezwa kulinda mwanamke na ustawi wa jamii na kumfanya mwanaume kutulizana asitapanyike kila anapokwenda.

Sasa kwa kiburi na madharau ya hawa wanaojiita wanaharakati wa haki sawa, wamekwenda kuharibu sasa msingi wa ndoa na kufanya jamii kuwa na mitazamo ya hovyo juu ya ndoa.

Watoto wa kiume breed ya sasa wameshaona possibility ya kuishi nje ya ndoa hadi wakiwa watu wazima. Sasa wanawake wataongea nini tena kuwashawishi kurejea ndoani.

Ndio maana hata wakioa hawataki tena kutulia na kupenda wake zao.

Hii dhambi ya kiburi cha hawa wanaojiita wanaharakati msalaba wake itabebwa na wajukuu zetu wa kike miaka ijayo.
 
Sasa mjomba kama mkeo naye anafanya kazi unafikiri anatimizaje majukumu ya nyumbani vizuri

Si tumekubaliana maisha ni kusaidiana sasa mbona ninyi mnataka kusaidiwa majukumu yenu ila ya wenzenu hamtaki kusaidia

Kama hamuwezi kufanya kazi za nyumbani basi oeni wanawake wasio na elimu ili wawe mama wa nyumbani watimize hayo majukumu na muwahudumie kwa kila kitu

Sent from my S6 using JamiiForums mobile app
Kuoa mwanamke asiye na elimu na kujielewa ndiyo chanzo cha kupata changamoto nyingi kwenye ndoa,
Elimu nnayoongelea siyo ya kukariri madaftari tu bali elimu ya kitaa na kudadafua mambo..

Kudadafua mambo huku ni ajue dunia iko wapi na inaenda wapi, ili aweze kuziona fursa kwa wakati. Na siyo mmekaa na washkaji au watu wako mada inakuja anashindwa hata kuchangia yeye anajua mambo ya wema na harmonize tu.
Anaanza kuleta stori kuhusu bara la Qatar na raisi wa uingereza
 
Back
Top Bottom