Malezi ya sasa hivi ni mabovu kabisa

Hongera ulipata mzazi bora ila now wamama mnatuharibia watoto
 
Kweli kabisa
 
Sawa yamebadirika ila yasikufanye mtoto wako awe mtovu wa nidhamu
 
Sawa yamebadirika ila yasikufanye mtoto wako awe mtovu wa nidhamu
Ndio ubadilike na wewe sasa, usilee kizamani kwa kudhani mtoto hajui kitu kumbe anasikia na kuona mengi yanamchanganya hajui amuulize nani, wewe bado unaona miaka 14/15 bado mdogo hajui kitu.
 
Assume unaishi jiji kama Dsm, Mwanza,Arusha eti umfukuze binti kigori wa miaka 17 utegemee atakosa pa kwenda, utaishia kumpoteza zaidi.
umenikumbusha kuna siku tulikuwa na washkaji kino pale 4ways. sasa kuna mmama alikuja na kibinti chake cha kama 15, 16, 17 au 18 hapo. nazani mama aliamua kumpa outing binti yake. wao walikaa meza ya karibu yetu.

sasa kati ya wale jamaa zangu mmoja akawa amemuelewa yule dogo akaanza kuwasiliana nae kwa signals palepale na mamake akiwepo. mama akitazama kushoto au cjui kaunta au anaongea na simu, dogo anampa jamaa sign. hauwezi kuamini yule dogo alimpa namba jamaa bila mama yake kujua.

ni muhimu kuwaelimisha hawa madogo ngono salama tu kwakweli maana kuwadhibiti haiwezekani hata kidogo.
 
Ndio hivyo mkuu, kama hajaanza hizo mbanga basi jitahidi kumuepusha nazo ila kama keshaanza mpe elimu ajilinde tu hamna namna, vipigo vya kila siku utaishia kumkimbiza tu.

Kuna dogo nae tulikua tunamuamini kua ni innocent kumbe hola, kuja kujua vioja vyake ikabidi apewe elimu tu ajikinge vipi, mama na shangazi zake walikaa nae kitako.
Sasa anaendelea vyema tu, miaka 17 ni binti mkubwa anabeba Me wa age yoyote.
 
Hakuna cha kabla, kapime DNA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…