Malezi ya sasa hivi ni mabovu kabisa

Malezi ya sasa hivi ni mabovu kabisa

Kusalimia tu vitoto havisalimiii
Akikatazwa kitu analia tena kwa makelele
muda wote ni tablet au simu ya mzazi
Hawa wakikua sijui ni kizazi cha aina gani
 
Km wanaume wenyewe hawajijui ni nani, na wanaamua kugeukia upande wa 2, hao wanawake wataweza wapii?

Dunia imeshavuka hukoo. Lol
 
Ndugu zangu hakuna bingwa wa malezi mtoto akiamua kukengeuka anakengeuka tu hata uwe mkali kama mzee Masawe au mzee Jumbe (i. e wazee wakaksi na wakali mtaana niliokulia) ila bado kuna watoto wao walishindikana na kuwa vivuruge kupita maelezo
Umemaliza kila kitu.
 
Hata wanao wapachika hizo mimba nao ni shida vile vile mtu kamdanganya mtoto wangu kwa vi chipsi chipsi na kumpeleka geto la kuazima kwa masela wake mtoto nae kajaaa kapigwa mimba baadae anakuja kujua aliempa mimba hana chochote pengine hata godoro hana na binti kutoa mimba anaogopa sasa akishajifungua unadhani kirahisi rahisi ataenda kukaa kwa huyo kijana ilhali kwao anakaa pazuri anakula vizuri....hawa vijana wanao vaaa haya mayebo yebo yamepanda juu na vi soksi ndo shida nyingine kwa watoto wetu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna wazazi sasa hivi mnausasa wa kuwaacha watoto wajifanyie wanavyo taka wao yaani wanajifanyia maamuzi ndio maana sasaivi wasichana wengi wamezalia nyumbani na mmelizikia hivi ni kawaida mtoto wa kike kazalia nyumbani mtoto wa kwanza ukasema bahati mbaya na wa pili anazalia nyumbani na baba tofauti na bado unaendelea kumlea hapo kwako kweli?

Zamani haikuwa ivyo kabisa watu walikuwa wanajichunga ila sasaivi uhuru umepitiliza embu wazazi acheni usasa ndio maana sasa hivi mwanaume apewi thamani yake kama zamani wakati kipindi cha nyuma mwanaume alikuwa anathaminiwa sana tofauti na sasa mwanaume wanatumika tu vibaya hii lekebisheni wazazi wafunzeni watoto wakike wajue thamani ya mwanaume wajue kuwa mwanaume ni nan
Ahsante mzazi na mzee mwenzetu kwa kuliona hili kwa kweli ni shida kabisa
Kwanza enzi za mababu wa mababu baadhi ya makabila msichana akibeba mimba nyumbani anauwawa kwa makabila mengine silitaji wakiona wamepata mimba walikuwa wanakimbia kwao wanakuja mijini wanazaa ila wanafanya biashara ya ngono.Biashara hiyo ya ngono wanasomesha watoto wao na nyumbani waweka mijengo ya nguvu.
 
Kabisa yaani sasaiv mtoto kamaliza fomr 4 mwaka jana mwaka uhu ana mimba na mzazi anachekelea na haoni shida kabisa
Wenyewe wanakwambia huku wanajichekesha utasikia “nimekuwa babu/bibi ujanani” basi unawatizamaa unabaki kusikitika.
 
Unajua kama upatikanaji wa mimba wenyewe ni shida siku hizi!?
Unamaanisha nini?umefikiria kweli ulichoandika?

Kwamba kwa sababu ninyi mlioua vizazi na madawa na kutoa mimba hamtungishi tena mimba basi watoto zenu wachache miliowazaa wazae badala yenu tena wakiwa wadogo bila future yoyote?
 
Yaani unamaanisha anazaa bila mwanaume!
Unamaanisha nini?umefikiria kweli ulichoandika?

Kwamba kwa sababu ninyi mlioua vizazi na madawa na kutoa mimba hamtungishi tena mimba basi watoto zenu wachache miliowazaa wazae badala yenu tena wakiwa wadogo bila future yoyote?
Ninefikiria sana tu. Wanaume wengi hmana uwezo wa kuzalisha siku hizi. Beba wanao kapime DNA.
 
Yaani unamaanisha anazaa bila mwanaume!

Ninefikiria sana tu. Wanaume wengi hmana uwezo wa kuzalisha siku hizi. Beba wanao kapime DNA.
Labda kabla sijaanza uchunguzi wangu wewe uwe sample ya kwanza.

Huyo mumeo hapo nyumbani ktk hao watoto anaojidai ni wa kwake wangapi wa kwake wangapi ni wa kimada wako?(maana wewe ndiye unaejua),so ikiwa wanaume tuna shida ya kuzalisha ndiyo ushangilie wanao kuzalia nyumbani?tena wakingali wadogo?
 
Kusalimia tu vitoto havisalimiii
Akikatazwa kitu analia tena kwa makelele
muda wote ni tablet au simu ya mzazi
Hawa wakikua sijui ni kizazi cha aina gani
Hiyo ni wazaz amuwafundishi watoto kusalimia ety mpaka mumdanganye utamnunulia pipi ndio asalimie
 
Ahsante mzazi na mzee mwenzetu kwa kuliona hili kwa kweli ni shida kabisa
Kwanza enzi za mababu wa mababu baadhi ya makabila msichana akibeba mimba nyumani anauwawa kwa makabila mengine silitaji wakiona wamepata mimba walikuwa wanakimbia kwao wanakuja mijini wanazaa ila wanafanya biashara ya ngono
Na ndipo watoto wakaona mjini ndio kwenye maisha kumbe siko wengi wamepotea kwa njia kama hii
 
Ndani ya humo Dar,Arusha, Mwanza kuna mabinti kibao wenye maadili mema na mazuri.
Suala la mtoto kuwa na tabia nzuri au mbaya haina mahusiano na anapo ishi ndo maana hata huko manyara vijijini kabisa kuna watoto wana tabia mbaya kuliko hata ya wanao ishi kwenye hiyo miji uliyo itaja.
Tabia ya mtoto huwa ina akisi ni aina gani ya wazazi alio nao.
Mtoto hutakiwi kumfundisha kuzuia mimba bali unatakiwa kumfundisha madhara ya uzinzi kwa ujumla maana hakuna ambaye alisha endekeza uzinzi akawa na mwisho mwema awe kwa mwanamke au mwanaume.
Wewe utakapo mfundisha namna ya kuzuia mimba ina maana umempa ruhusa ya kuanza kubugia map2 ambayo itamsababishia utasa ambao ni hasara kwake mara 200000000 kuliko usingo mother.
Wazazi wa siku hizi hamuwajibiki kwenye malezi ya watoto wenu mkatae mkubali.
Kingine ni karma kama ww kipindi cha ujana wako ulikuwa bingwa wa kuchezea mabinti za watu usitegemee wa kwako kubaki salama.
Sawa some how naungana na wewe ila kuna namna mzaz unatikwa ufanye kwenye malezi hii sio sawa watoto kuzalia nyumbani
 
Halafu hata hawanyang'anyani chakula, wala hakuna mashtaka ya kukomba mboga. Mii siku hiyo nikiwepo home ni mwendo wa kuyakimbiza mpaka yanasema poo. Muda wa kula ni 7 - 10 min, baada ya hapo tunageukia mada nyingine
Ushua mwingi
 
Hii bado ipo siku hizi?
Nakumbuka zamani mtoto wa mwisho wa mama, lazima awe na umri sawa/mdogo na mtoto wa kwanza wa binti yake. Yaani anko na mpwa wake wako rika moja, wanacheza pamoja
Haipo mkuu mimi nimemlea uncle wangu lakin tumecheza pamoja now kuna mipaka
 
Back
Top Bottom