Huku ndiko kukurupuka kwenyewe. Jpm alikuwa hana mamlaka ya kuvunja mikataba wowote. Sheria hainiruhusu kabisa ispokuwa mahakama tu. Jpm mamlaka yake yanakoma kwenye urais tu siyo kuingilia mahakama. Ndo maana Mambo yalikuwa shagalabagala kwa kuhalibu kila kitu. Ashtakiwe tu japo ameshaozaNa wale wote walioingia mikataba ya kipumbavu mpaka jpm akaivunja nao wakamatwe na wonyongwe hadharani[emoji35][emoji35][emoji35]
Umeongea kama hauna kichwaIfike wakati sasa hatua stahiki zichukuliwe ili iwe mfano kwa watu wote wanaopata uongozi katika nchi hii. Magufuli na wote waliohusika sasa ni wakati wafilisiwe.
Mtu hawezi kuwa anajiamulia mambo bila kufuata sheria na utaratibu halafu kodi zetu ndio ziwe zinatumika kulipia badala ya kutuletea maendeleo.
Mkuu hebu Jiulize kidogo maswali haya pengine utajua nani anapaswa kufilisiwa.Ifike wakati sasa hatua stahiki zichukuliwe ili iwe mfano kwa watu wote wanaopata uongozi katika nchi hii. Magufuli na wote waliohusika sasa ni wakati wafilisiwe.
Mtu hawezi kuwa anajiamulia mambo bila kufuata sheria na utaratibu halafu kodi zetu ndio ziwe zinatumika kulipia badala ya kutuletea maendeleo.
Mikataba mingi ilikuwa vizuri na mizuri sana ispokuwa Magufuli ilimlazimu azungumze uongo ili kui crash na tuone waliyoiingia walikuwa hawafai it's was somesort of, yeye awe zaidi ya wote hata kumpita Nyerere, ili akubalike na wajinga walio wengi kwa kigezo cha kuwaita "wanyonge" nao wakaitika naam, ili kutayarisha njia ya kuwa, DICTATOR KAMILI, KUVUNJA KATIBA NA YOTE MAOVU.Na wale wote walioingia mikataba ya kipumbavu mpaka jpm akaivunja nao wakamatwe na wonyongwe hadharani[emoji35][emoji35][emoji35]
Na wale wote walioingia mikataba ya kipumbavu mpaka jpm akaivunja nao wakamatwe na wonyongwe hadharani[emoji35][emoji35][emoji35]
Kuona makosa ya wenzako unatakiwa uwarekebishe wenzako sio kufanya makosa zaidi. Ndio kinachotucost na hivyo mwamba alikua anapenda sifa basi ndio kila siku anaharibu tuMagufuli alikuwa sahihi.awamu iliyomtangulia magufuli ndiyo ilikuwa ya wapuuzi wengi aliyoingia mikataba ya kipuuzi ya kufilisi nchi na kunufaisha hao wawekezaji uchwara.In sasa tu na awamu ya huyu mother inawapuuzi wengi wanaotetea mikataba ya kipuuzi
Angefuata taratibu za kisheria na sio kukurupuka.Mkuu hebu Jiulize kidogo maswali haya pengine utajua nani anapaswa kufilisiwa.
Hiyo mikataba Ilivunjwa kwa sababu gani?
Kasoro zake ni nini?
Mikataba ilikuwa ni ya kinyonyaji, kama ndio je ilikuwa ni yakinyonyaji kiasigani?
Mikataba ilikuwa inamfaidisha nani?.
Hapo umenena.Mikataba mingi ilikuwa vizuri na mizuri sana ispokuwa Magufuli ilimlazimu azungumze uongo ili kui crash na tuone waliyoiingia walikuwa hawafai it's was somesort of, yeye awe zaidi ya wote hata kumpita Nyerere, ili akubalike na wajinga walio wengi kwa kigezo cha kuwaita "wanyonge" nao wakaitika naam, ili kutayarisha njia ya kuwa, DICTATOR KAMILI, KUVUNJA KATIBA NA YOTE MAOVU.
NI DHAMBI KUBWA KUFANYA JAMBO AU KUZUNGUMZA JAMBO ILI MWENZAKO AONEKANE HANA MAANA NA HAFAI.
Ifike wakati sasa hatua stahiki zichukuliwe ili iwe mfano kwa watu wote wanaopata uongozi katika nchi hii. Magufuli na wote waliohusika sasa ni wakati wafilisiwe.
Mtu hawezi kuwa anajiamulia mambo bila kufuata sheria na utaratibu halafu kodi zetu ndio ziwe zinatumika kulipia badala ya kutuletea maendeleo.
Wao wasema, mama anaupoga mwingi!😁Kwani wanasheria wetu Nguli wanasemaje? tuanzie hapo kwanza.
Na kwa jinsindemokrasia ilivyo ni wengi wape, naoba niishie hapo..Mikataba mingi ilikuwa vizuri na mizuri sana ispokuwa Magufuli ilimlazimu azungumze uongo ili kui crash na tuone waliyoiingia walikuwa hawafai it's was somesort of, yeye awe zaidi ya wote hata kumpita Nyerere, ili akubalike na wajinga walio wengi kwa kigezo cha kuwaita "wanyonge" nao wakaitika naam, ili kutayarisha njia ya kuwa, DICTATOR KAMILI, KUVUNJA KATIBA NA YOTE MAOVU.
NI DHAMBI KUBWA KUFANYA JAMBO AU KUZUNGUMZA JAMBO ILI MWENZAKO AONEKANE HANA MAANA NA HAFAI.
Waliosaini hio mikataba ya kichoko waanze kufilisiwa kabla ya kuanza kumfilisi mzalendo jpmIfike wakati sasa hatua stahiki zichukuliwe ili iwe mfano kwa watu wote wanaopata uongozi katika nchi hii. Magufuli na wote waliohusika sasa ni wakati wafilisiwe.
Mtu hawezi kuwa anajiamulia mambo bila kufuata sheria na utaratibu halafu kodi zetu ndio ziwe zinatumika kulipia badala ya kutuletea maendeleo.
Nakazia.Na wale wote walioingia mikataba ya kipumbavu mpaka jpm akaivunja nao wakamatwe na wonyongwe hadharani[emoji35][emoji35][emoji35]