Angefuata taratibu za kisheria na sio kukurupuka.
Dunia ina sheria zake ambazo wamejiwekea hawezi kutokea kichaa mmoja tena kutoka nchi iliyo jaa umasikini akafanya mambo kiholela alafu akatizamwa tu.
Haya alivunja mkataba kwa kuuhita ni wa kinyonyaji lakini leo tunatakiwa kuwalipa tena hela haohao wanyinyaji ambazo hawaja zifanyia hata kazi.
sasa hapo alikwepa nn na alifanya nn kama sio kukurupuka?
Kiufupi Magufuri alizengua sana tena sana alikuwa yuko tiyari taifa ligharamike ili mradi tu apate sifa za watu wajinga na wasio na elimu na alifanikiwa.
Yote kwa yote CCM ni tatizo ndani ya nchi hii.
Ili nchi hii iendelee inatakiwa kitanzi kitumike dhidi ya hawa wapuuzi wenye tabia ya kufanya mzaa na kodi za watz bila kujali.