Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Ni kweli hata sasa hali ilivyo ni kama tuko Eden naona hata Marekani wanatuonea wivu jinsi ambavyo gharama za maisha zimeshuka baada ya bwana yule kutoweka ulimwenguni.Mikataba mingi ilikuwa vizuri na mizuri sana ispokuwa Magufuli ilimlazimu azungumze uongo ili kui crash na tuone waliyoiingia walikuwa hawafai it's was somesort of, yeye awe zaidi ya wote hata kumpita Nyerere, ili akubalike na wajinga walio wengi kwa kigezo cha kuwaita "wanyonge" nao wakaitika naam, ili kutayarisha njia ya kuwa, DICTATOR KAMILI, KUVUNJA KATIBA NA YOTE MAOVU.
NI DHAMBI KUBWA KUFANYA JAMBO AU KUZUNGUMZA JAMBO ILI MWENZAKO AONEKANE HANA MAANA NA HAFAI.
Huduma za kijamii zimeboreshwa sana naona umeme na maji ni ya uhakika mno. Hakika bwana yule aliwasingizia mafisadi na kuwashambulia wapiga dili. Naona nchi iko pazuri mno kuliko kipindi chake sahizi watu wanawajibika ipasavyo kwenye majukumu ya kujenga taifa na soon watatuletea katiba pendekezwa ya wananchi.