Mali za Magufuli na wote waliohusika kuvunja mikataba kiholela zikamatwe kufidia deni ili ndege yetu iachiwe

Mali za Magufuli na wote waliohusika kuvunja mikataba kiholela zikamatwe kufidia deni ili ndege yetu iachiwe

Acha kutaka kusukuma mbuyu utaishia kutikisa matako tuuu
Cha muhimu mkisikia hata kichaaa anataka katiba mpya ni kumuunga mkono tuuu kupitia hilo ndio uzi wako utafanya kazi lkn tofauti na hilo naweza kusema unajisumbua tuuu
Umenena kwa wenye akili wamekuelewa !!
 
Akili zetu ni kama zimeganda, tunafanya mambo hovyo hovyo tu.
 
Back
Top Bottom