Mali za Magufuli na wote waliohusika kuvunja mikataba kiholela zikamatwe kufidia deni ili ndege yetu iachiwe

Ni kweli hata sasa hali ilivyo ni kama tuko Eden naona hata Marekani wanatuonea wivu jinsi ambavyo gharama za maisha zimeshuka baada ya bwana yule kutoweka ulimwenguni.

Huduma za kijamii zimeboreshwa sana naona umeme na maji ni ya uhakika mno. Hakika bwana yule aliwasingizia mafisadi na kuwashambulia wapiga dili. Naona nchi iko pazuri mno kuliko kipindi chake sahizi watu wanawajibika ipasavyo kwenye majukumu ya kujenga taifa na soon watatuletea katiba pendekezwa ya wananchi.
 
Fuatilia chanzo Cha mradi was sukari alafu uje ufute huu uharo wa makande
 
Waliosaini hio mikataba ya kichoko waanze kufilisiwa kabla ya kuanza kumfilisi mzalendo jpm
Wenda Magufuri aliuvunja mkataba kwa nia njema lakini njia alizo tumia ni za kipuuzi na zilizo kuwa zimekaa kisiasa zaidi badala ya kisheria.

Yaani alikuwa anafanya maamuzi ili apate umaarufu wa kisisa bila kujali nchi ingegharamika kiasi gani juu ya maamuzi yake.

Hata hivyo tatizo la nchi hii sio Magufuri,kikwete wala Samia tatizo la nchi hii lina anzia kwenye mzizi kabisa wa jamii yetu.
Jamii yenyewe umejaa mambo ya hovyo alafu unategemea jamii hiyo hiyo itoe viongozi bora?

Ili nchi hii ili isonge mbele inatakiwa kitanzi kitumike dhidi ya hawa wapuuzi wenye tabia ya kufanya mzaha na kodi zetu.
 
Marehemu aliongoza kwa hila na uwongo. Akuwaongopea hasa watu wajinga ili kutafuta kuungwa mkono.

Hakuma mkataba uliokuwa wa kinyonyaji, ulikuwa ni uwongo.

Mkataba gani ambao ulikuwa mbaya na wa kinyonyaji? Ulikuwa mkataba kati ya nani na nani.

Mkataba ambao uliwahi kuwa mbaya ni ule tu IPTL, hasa kipengere kiluchokuwa kinalazimisha TANESCO kuwalipa hata wasipotumia umeme wao, na ile fidia ya kuwalipa kama TANESCO ingeamua kuvunja mkataba. Mingine yote haikuwa na tatizo.
 
Ushuzi mtupu mmejitengenezea mikataba ya kipigaji vunja yote
 
Kibaya zaidi Watanzania wa sasa wanashinda wanabet hata hawajui kodi zao zinavyochezewa.
 
Waliosaini hio mikataba ya kichoko waanze kufilisiwa kabla ya kuanza kumfilisi mzalendo jpm
Magufuli angekuwa mzalendo angewaza athari za maamuzi yake kwa taifa. Maamuzi yake mengi yalikuwa kwa ajili ya kujipa umaarufu kwa watu wengi wasiopima mambo ambao ndio wamezidi hapa Tanzania.

Ila pia ikiwa kweli hiyo mikataba ilikuwa ya kinyonyaji basi hao waliosaini pia wanatakiwa kufilisiwa.
 
Basi na hili nalo mwende mkalitazame
 
NNsio huwezi wako wa kufikiri umefikia hapo

Ovyooo kabisaa

Kama huna cha kuandika ni bora ungekaa kimye kulipa kupuyanga

Ungeonekana wa maana zaidi kuliko sasa unavyooneka kitukooo
Ujane unakutesa sana ndio maana unaleta povu badala ya kukaa kwa kutulia.

Kama mikataba ilikuwa mibovu alipaswa kutumia sheria kuivunja. Na pia alipaswa kuwakamata wote waliosaini na kuipitisha ile mikataba. Huo ndio uzalendo na sio hizi hasara alizoleta kwa taifa.
 
Hakika, ila mpaka tungekuwa na katiba mpya. CCM hii ya sasa iliyojaa mapigaji kila kona hili la kuwajibika na kufilisiwa haliwezekani.
 
Na wale wote walioingia mikataba ya kipumbavu mpaka jpm akaivunja nao wakamatwe na wonyongwe hadharani[emoji35][emoji35][emoji35]
Ameokoa mkataba wa bandari ya bagamoyo. Nao tungekuwa chali. Kuanzia mtwara, dar hadi tanga ports.
 
Wote ni mafisadi aliyeingia hiyo mikataba na aliyeivunja kihuni kwani kaongeza hasara juu ya hasara
 
Katiba mpya !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…