RungulaBwana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2018 Posts 219 Reaction score 352 Dec 4, 2022 #81 Tindo said: Weka receipt za malipo hapa. Hizi taarifa za kuambiwa na majitu maongo baki nazo. Hakuna mzungu mjinga boss. Click to expand... . Kama huamini taarifa hiyo, unaaminije taarifa zingine zinazotolewa na serikali?
Tindo said: Weka receipt za malipo hapa. Hizi taarifa za kuambiwa na majitu maongo baki nazo. Hakuna mzungu mjinga boss. Click to expand... . Kama huamini taarifa hiyo, unaaminije taarifa zingine zinazotolewa na serikali?
Tindo JF-Expert Member Joined Sep 28, 2011 Posts 63,730 Reaction score 111,542 Dec 4, 2022 #82 RungulaBwana said: . Kama huamini taarifa hiyo, unaaminije taarifa zingine zinazotolewa na serikali? Click to expand... Niweke taarifa moja ya serikali niliyoiamini.
RungulaBwana said: . Kama huamini taarifa hiyo, unaaminije taarifa zingine zinazotolewa na serikali? Click to expand... Niweke taarifa moja ya serikali niliyoiamini.
mzeewaSHY JF-Expert Member Joined Aug 31, 2021 Posts 8,916 Reaction score 8,630 Dec 5, 2022 #83 Noizee maker said: Acha kutaka kusukuma mbuyu utaishia kutikisa matako tuuu Cha muhimu mkisikia hata kichaaa anataka katiba mpya ni kumuunga mkono tuuu kupitia hilo ndio uzi wako utafanya kazi lkn tofauti na hilo naweza kusema unajisumbua tuuu Click to expand... Umenena kwa wenye akili wamekuelewa !!
Noizee maker said: Acha kutaka kusukuma mbuyu utaishia kutikisa matako tuuu Cha muhimu mkisikia hata kichaaa anataka katiba mpya ni kumuunga mkono tuuu kupitia hilo ndio uzi wako utafanya kazi lkn tofauti na hilo naweza kusema unajisumbua tuuu Click to expand... Umenena kwa wenye akili wamekuelewa !!
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Dec 5, 2022 #84 Akili zetu ni kama zimeganda, tunafanya mambo hovyo hovyo tu.