Mali za umma zinapouzwa, watumishi wa Serikali wasiruhusiwe kununua sababu si walipa kodi

Uko sahihi

Ndio maana Serikali huwakata kodi wafanyakazi wa Serikali.
Ile siyo kodi. Haiongezi chochote kwenye kodi ya nchi. Lakini wafanyakazi wa sekta bunafsi wanalipa kodi.
 
Tena watumishi wa umma ndio wanaumia sana na kodi za hii nchi.

#MaendeleoHayanaChama
Sahihi.Mishahara yao ni midogo lakini kodi na makato mengine ni mengi.Mleta uzi hesabu zake ni aidha hazina uhalisia au hajui kwamba watumishi hulipa kodi.
 
Ile siyo kodi. Haiongezi chochote kwenye kodi ya nchi. Lakini wafanyakazi wa sekta bunafsi wanalipa kodi.
Basi tufanye hivi.

Serikali IKISHACHAPISHA PESA ikae NAZO tu huko BoT.

Hakuna sababu ya KUTUMIA gharama kubwa, kuajiri WATU wakisanye KODI wakati hizo pesa wangeweza kukaa nazo tu.

Ni sawa na una punje zako za mchele uzimwage kwenye kundi LA ndege, halafu uanze kutumia gharama kuzikusanya.

Hivi ndivyo akili yako inavyofanya kazi.
 
Kwakweli 😂😂😂😂😂
 
Idi amini aliambiwa pesa zimeisha, akawajibu, "Kachapisheni." Ndiyo akili yako inavyofanya kazi?
 
Yaani hufahamu kuwa mtumishi wa Umma nae ni mlipa Kodi? Aibu.
 
Uelewa wako mdogo sana..wakati mwingine kabla ya kuleta jambo kwa watu wengi..uliza.
 
Yaani hufahamu kuwa mtumishi wa Umma nae ni mlipa Kodi? Aibu.
Hauko peke yako. Wengi wanafikiri watumishi wa umma na viongozi wa serikali wanalipa kodi.
 
watumishi wa serikali na sekta binafsi kama mahotel wanalipa kodi na kodi zao zinakatwa juu kwa juu kabla ya wao hawajapokea au kutoa mshahara wao
 
Mbn watumishi ndyo wanaoongoza kwa kulipa Kodi nchi hii
 
watumishi wa serikali na sekta binafsi kama mahotel wanalipa kodi na kodi zao zinakatwa juu kwa juu kabla ya wao hawajapokea au kutoa mshahara wao
Mtumishi wa sekta binafsi kama hoteli analipa kodi. Huyu inaenda hazina. Kodi hiyo ikijaa, sehemu fulani inachukuliwa kwenda kulipa mishahara ya watumishi wa umma, kujenga barabara nk. Watumishi hawawezi chukua hiyo pesa iliyotokana na kodi na kulipa tena kodi.

Watumishi wa serikali na wa mahoteli wote wanafanya kazi za muhimu. Hakuna aliyemuhimu zaidi ya mwingine. Lakini huyu wa hoteli analipa kodi na kuongeza kitu kwa nchi. Lakini huyu wa serikali halipi kodi.
 
Haujui kwamba watumishi wa umma ndiyo wanaoongoza kwa kulipa kodi nchi hii, tena kiulazima kodi inakatwa juu juu bila kona kona.

Bora wafanyabiashara wanaweza wakakwepakwepa, hawa watumishi hawana hiyo option.
Bora wewe umemwelewesha
 
Konyo sana wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…