Mali za umma zinapouzwa, watumishi wa Serikali wasiruhusiwe kununua sababu si walipa kodi

Uko sahihi

Ndio maana Serikali huwakata kodi wafanyakazi wa Serikali.
Ile siyo kodi. Haiongezi chochote kwenye kodi ya nchi. Lakini wafanyakazi wa sekta bunafsi wanalipa kodi.
 
Tena watumishi wa umma ndio wanaumia sana na kodi za hii nchi.

#MaendeleoHayanaChama
Sahihi.Mishahara yao ni midogo lakini kodi na makato mengine ni mengi.Mleta uzi hesabu zake ni aidha hazina uhalisia au hajui kwamba watumishi hulipa kodi.
 
Ile siyo kodi. Haiongezi chochote kwenye kodi ya nchi. Lakini wafanyakazi wa sekta bunafsi wanalipa kodi.
Basi tufanye hivi.

Serikali IKISHACHAPISHA PESA ikae NAZO tu huko BoT.

Hakuna sababu ya KUTUMIA gharama kubwa, kuajiri WATU wakisanye KODI wakati hizo pesa wangeweza kukaa nazo tu.

Ni sawa na una punje zako za mchele uzimwage kwenye kundi LA ndege, halafu uanze kutumia gharama kuzikusanya.

Hivi ndivyo akili yako inavyofanya kazi.
 
Kwakweli 😂😂😂😂😂
 
Idi amini aliambiwa pesa zimeisha, akawajibu, "Kachapisheni." Ndiyo akili yako inavyofanya kazi?
 
Habari wakuu,

Wakati wa Mkapa ulitokea uuzaji wa nyumba za serikali, na kigezo cha kuweza kununua nyumba hizo ilikuwa uwe mtumishi wa serikali. Jamii iliona ni sawa na haki, lakini kumbe jambo sawa na la haki ilikuwa kwa watumishi hao kutoruhusiwa kabisa kununua nyumba zile.

Wanazuoni wanasema kuwa mali za Serikali zinapatikana kwa kupitia kodi, kwahiyo hata hata wakati zinapouzwa ni haki wale walipa kodi ndiyo wakapewa nafasi ya kununua. Watumishi wa serikali, kuanzia Rais, mawaziri, wabunge na watumishi wengine wote wanaolipwa na serikali si walipa kodi bali ni watu wanaotumia kodi.

Si haki kumuuzia mtu ambaye hakuhusika kuchangia kupatikana mali hiyo huku ukimuondoa kabisa yule aliyehusika kuinunua. Kwa mantiki hiyo, mali yoyote ya Serikali inapouzwa, iwe nyumba, magari, viwanja, mashamba n.k, watumishi wa serikali hawapaswi kuruhusiwa kununua.

Nawasilisha.
Yaani hufahamu kuwa mtumishi wa Umma nae ni mlipa Kodi? Aibu.
 
Nafahamu. Anatoa huduma na anapata mapato kutokana na huduma aliyotoa. Lakini halipi kodi. Watu wa sekta binafsi ndiyo wanazalisha na kulipa kodi. Kodi hiyo inaenda kulipa watumishi wa umma, kujenga barabara, kujenga nyumba nk nk. Sasa inakuingia akilini mtu ambaye mshahara wake umetoka kwenye kodi achukue atoe sehemu fulani na kusema analipa kodi? Ni haki mtu huyu kupewa kipaumbele au hata kuruhusiwa kununua mali zilizotokana na walipa kodi?
Uelewa wako mdogo sana..wakati mwingine kabla ya kuleta jambo kwa watu wengi..uliza.
 
Habari wakuu,

Wakati wa Mkapa ulitokea uuzaji wa nyumba za serikali, na kigezo cha kuweza kununua nyumba hizo ilikuwa uwe mtumishi wa serikali. Jamii iliona ni sawa na haki, lakini kumbe jambo sawa na la haki ilikuwa kwa watumishi hao kutoruhusiwa kabisa kununua nyumba zile.

Wanazuoni wanasema kuwa mali za Serikali zinapatikana kwa kupitia kodi, kwahiyo hata hata wakati zinapouzwa ni haki wale walipa kodi ndiyo wakapewa nafasi ya kununua. Watumishi wa serikali, kuanzia Rais, mawaziri, wabunge na watumishi wengine wote wanaolipwa na serikali si walipa kodi bali ni watu wanaotumia kodi.

Si haki kumuuzia mtu ambaye hakuhusika kuchangia kupatikana mali hiyo huku ukimuondoa kabisa yule aliyehusika kuinunua. Kwa mantiki hiyo, mali yoyote ya Serikali inapouzwa, iwe nyumba, magari, viwanja, mashamba n.k, watumishi wa serikali hawapaswi kuruhusiwa kununua.

Nawasilisha.
watumishi wa serikali na sekta binafsi kama mahotel wanalipa kodi na kodi zao zinakatwa juu kwa juu kabla ya wao hawajapokea au kutoa mshahara wao
 
Mbn watumishi ndyo wanaoongoza kwa kulipa Kodi nchi hii
 
watumishi wa serikali na sekta binafsi kama mahotel wanalipa kodi na kodi zao zinakatwa juu kwa juu kabla ya wao hawajapokea au kutoa mshahara wao
Mtumishi wa sekta binafsi kama hoteli analipa kodi. Huyu inaenda hazina. Kodi hiyo ikijaa, sehemu fulani inachukuliwa kwenda kulipa mishahara ya watumishi wa umma, kujenga barabara nk. Watumishi hawawezi chukua hiyo pesa iliyotokana na kodi na kulipa tena kodi.

Watumishi wa serikali na wa mahoteli wote wanafanya kazi za muhimu. Hakuna aliyemuhimu zaidi ya mwingine. Lakini huyu wa hoteli analipa kodi na kuongeza kitu kwa nchi. Lakini huyu wa serikali halipi kodi.
 
Haujui kwamba watumishi wa umma ndiyo wanaoongoza kwa kulipa kodi nchi hii, tena kiulazima kodi inakatwa juu juu bila kona kona.

Bora wafanyabiashara wanaweza wakakwepakwepa, hawa watumishi hawana hiyo option.
Bora wewe umemwelewesha
 
Habari wakuu,

Wakati wa Mkapa ulitokea uuzaji wa nyumba za serikali, na kigezo cha kuweza kununua nyumba hizo ilikuwa uwe mtumishi wa serikali. Jamii iliona ni sawa na haki, lakini kumbe jambo sawa na la haki ilikuwa kwa watumishi hao kutoruhusiwa kabisa kununua nyumba zile.

Wanazuoni wanasema kuwa mali za Serikali zinapatikana kwa kupitia kodi, kwa hiyo hata wakati zinapouzwa ni haki wale walipa kodi ndiyo wakapewa nafasi ya kununua. Watumishi wa serikali, kuanzia Rais, mawaziri, wabunge na watumishi wengine wote wanaolipwa na serikali si walipa kodi bali ni watu wanaotumia kodi.

Si haki kumuuzia mtu ambaye hakuhusika kuchangia kupatikana mali hiyo huku ukimuondoa kabisa yule aliyehusika kuinunua. Kwa mantiki hiyo, mali yoyote ya Serikali inapouzwa, iwe nyumba, magari, viwanja, mashamba n.k, watumishi wa serikali hawapaswi kuruhusiwa kununua.

Nawasilisha.
Konyo sana wewe
 
Back
Top Bottom