Kwa hio wewe ulitaka kodi za wananchi ziliwe na hawa wahaya bila kuhojiwa? Poor you!Afrika kweli ni bara la giza, simtetei hata mmojawapo hapo, ila hayo makosa hayakuonekana wakati mwingine wowote isipokuwa sasa kwenye mchakato wa uchaguzi! Na ndo kusema wala hayadhaminiki kwamba hawawezi kuwa nje kwa dhamana! Kwamba wamekosa wadhamini au kujidhamini wenyewe!! Kweli 'dirty politics belongs in Africa!
Umesahau habari za uchaguzi wa FIFA jinsi walivyohojiwa na kuwekwa ndani vigogo wa FIFA. Wakumbuke Blatter, Raisi wa UEFA na wengine wengi walivyopoteza sifa za kugombea au walivyojihudhuru. Je hao walikuwa waaafrika toka bara la giza kama unavyojaribu kutuaminisha na kutushusha utu wetu!!! Hapa suala la kujadili ni kweli wamefanya hayo makosa au wameonewa? Na sio kujadili kwanini wakamatwe na kushitakiwa sasa.Afrika kweli ni bara la giza, simtetei hata mmojawapo hapo, ila hayo makosa hayakuonekana wakati mwingine wowote isipokuwa sasa kwenye mchakato wa uchaguzi! Na ndo kusema wala hayadhaminiki kwamba hawawezi kuwa nje kwa dhamana! Kwamba wamekosa wadhamini au kujidhamini wenyewe!! Kweli 'dirty politics belongs in Africa!
No. It is just a coincidence. Money raundering has never left a man safe.Inaonekana there is a clear conspiracy in the whole saga! Huu mpango ulipangwa kabla!
Mkuu hata mayai ni liCCM, hafai kukalia kiti cha TFF.Huu ni utawala mwingine kiongozi... Fisadi Malinzi nae ana kadi ya ccm mfukoni....
Ali Mayai ya kuku ndiye rais wa TFF... Hutaki nenda kaishtaki TAKUKURU kwa kumtia ndani Fisadi Mali ya Inzi
Mkuu madega ni liCCM. Hafai kabisa kuongoza chombo muhimu kama TFF.Kwann watu wana wadharau wagombea wengine? Kuna mtu km madega ashapitia kwenye chaguzi nyingi za michezo na kisiasa uwezi kumdharau hivyo. Halafu ukumbuke watu wa malinzi hawatompigia kura Mayay watapiga kura ya kisasi ili bora tukose wote.
Hana elimu huyo.Ali Mayai the road now is clear.
huyo wanjiru ndo malinzi mwenyewe toka juz akamatwe hajaonekana hum jfAahaahahah wapi furenki nanjiruu na kati ya jf
Kwani hamjamuekea dhamana wapenzi wa malinzi [emoji2]
hawa wametumia nyaraka za uongo na kuchange signatoriesHili shtaka hili la kuhushi ni sawa na lile alofanya lipumba na msajili wa vyams vya siasa. Ni wizi wa wazi kabisa wakajichotea 350m
Jee takukuru hamkuona hilo ?
Au huu ni wizi ruhsa kwa awamu hiii sababu ni mtaji wa kisiasa
Mkuu hadi sasa hivi bado hujamfahamu Frank Wanjiru ni nani?
Ndio hio ngari nilio waona inausajili binafsi sio PT mitaa ya keko hapaYes mkuu maana wao defender imehusika kuwapeleka Segerea..View attachment 532627