Malinzi atupwa nje uchaguzi mkuu TFF!

Malinzi atupwa nje uchaguzi mkuu TFF!

Afrika kweli ni bara la giza, simtetei hata mmojawapo hapo, ila hayo makosa hayakuonekana wakati mwingine wowote isipokuwa sasa kwenye mchakato wa uchaguzi! Na ndo kusema wala hayadhaminiki kwamba hawawezi kuwa nje kwa dhamana! Kwamba wamekosa wadhamini au kujidhamini wenyewe!! Kweli 'dirty politics belongs in Africa!
Kwa hio wewe ulitaka kodi za wananchi ziliwe na hawa wahaya bila kuhojiwa? Poor you!
 
Kwann watu wana wadharau wagombea wengine? Kuna mtu km madega ashapitia kwenye chaguzi nyingi za michezo na kisiasa uwezi kumdharau hivyo. Halafu ukumbuke watu wa malinzi hawatompigia kura Mayay watapiga kura ya kisasi ili bora tukose wote.
 
HII MOVIE MARIDADI SANA PALE TFF KUNA MABILIONI MENGI KUTOKA FIFA YANALIPIWA KODI? HAPA KAZI TU
 
Tff km ccm tu yote majizi kazi kuliibia taifa na watz.....ng'ombe kabisa
 
Afrika kweli ni bara la giza, simtetei hata mmojawapo hapo, ila hayo makosa hayakuonekana wakati mwingine wowote isipokuwa sasa kwenye mchakato wa uchaguzi! Na ndo kusema wala hayadhaminiki kwamba hawawezi kuwa nje kwa dhamana! Kwamba wamekosa wadhamini au kujidhamini wenyewe!! Kweli 'dirty politics belongs in Africa!
Umesahau habari za uchaguzi wa FIFA jinsi walivyohojiwa na kuwekwa ndani vigogo wa FIFA. Wakumbuke Blatter, Raisi wa UEFA na wengine wengi walivyopoteza sifa za kugombea au walivyojihudhuru. Je hao walikuwa waaafrika toka bara la giza kama unavyojaribu kutuaminisha na kutushusha utu wetu!!! Hapa suala la kujadili ni kweli wamefanya hayo makosa au wameonewa? Na sio kujadili kwanini wakamatwe na kushitakiwa sasa.
 
Mengine ni kutafuta kiki timu kama simba na Yanga watu wanatoa hela mfukoni kuziendesha wakina Aveva na Kaburu wana kosa gani timu zinaingiza milioni 10 zinatumia mi 50
 
Huu ni utawala mwingine kiongozi... Fisadi Malinzi nae ana kadi ya ccm mfukoni....

Ali Mayai ya kuku ndiye rais wa TFF... Hutaki nenda kaishtaki TAKUKURU kwa kumtia ndani Fisadi Mali ya Inzi
Mkuu hata mayai ni liCCM, hafai kukalia kiti cha TFF.
 
Kwann watu wana wadharau wagombea wengine? Kuna mtu km madega ashapitia kwenye chaguzi nyingi za michezo na kisiasa uwezi kumdharau hivyo. Halafu ukumbuke watu wa malinzi hawatompigia kura Mayay watapiga kura ya kisasi ili bora tukose wote.
Mkuu madega ni liCCM. Hafai kabisa kuongoza chombo muhimu kama TFF.
 
Ali Mayai the road now is clear.
hqdefault.jpg
Hana elimu huyo.
 
Hili shtaka hili la kuhushi ni sawa na lile alofanya lipumba na msajili wa vyams vya siasa. Ni wizi wa wazi kabisa wakajichotea 350m
Jee takukuru hamkuona hilo ?
Au huu ni wizi ruhsa kwa awamu hiii sababu ni mtaji wa kisiasa
hawa wametumia nyaraka za uongo na kuchange signatories
 
Hivi kwanini wapigaji wakiwa kwa pilato huwaga wanacheka ama kutabasamu sana sana hawa mapapa,cheki jamaa linacheka tu kama mazuri
 
Back
Top Bottom