Malinzi na kamati nzima ya TFF naomba usiku huu mtuage rasmi

Tuambie ni yupi ndani ya ccm siyo mwizi

Tunaitaji kiongozi mwaminifu na kiongozi mwenye sifa za kuwa kiongozi,wizi ni sifa mbaya mojawapo ya kiongozi asiyefaha,zipo sifa zaidi ya hiyo,
Mfano mzuri tu ni raisi hyu anaemaliza muda wake hakuwa na kashifa za wizi lakini sote tunaona alikotufikisha,tusiangalie wizi tu twende zaidi ya hapo,tatizomawazo yetu tunaangalia wizi uku pembeni kuna wenye vitabia vya ajabu tunawasahau,alafu wanajipenyeza.
 

Sinema Ya Kufeli Kwa Huyu Malinzi Imeanzia Katika Formula Hii Ya Kimahesabu....Malinzi + Kumteua Kocha ( Mbovu ) + Kuteua Kamati Zake Mbovu + Ukabila + Kulipa Fadhila + Visasi ( Kwa Watendaji Wazuri Aliowakuta Kutoka Kwa Tenga ) + Laana Ya Damas Ndumbaro + Ufisadi + Kumpigia Kura Failure Mwingine Rais Wa FIFA Sepp Blater + 10% = UOZO Wa Timu Zetu Za Taifa Za Soka Nchini Tanzania.
 

Hakuna kitu kibaya kama kiongozi Kuiba rasilimali za taifa,
 
Mods mmenikosea heshima sana tena sana kuhuamisha jukwaa uzi wangu na kuubadilisha title.kama vipi ufuteni tu mmeshaupotezea maana..!hii inadhihirisha ni kwa vipi na nyinyi mmekula pesa za lowasa.
 
Sasa tuijadili TFF na malinzi wake au Fisadi Lowasa na CCM yake?
 
Hakuna kitu kibaya kama kiongozi Kuiba rasilimali za taifa,

Raisi asiyejua kuchanganua mambo vipi,?raisi unawaambia wananchi wako eti foleni ni kiashiria cha maendeleo,kuna raisi kweli hapo.?
 
Pia malinzi baada ya kushinda alienda kumshukuru fisad wake alyemdhamn kuingia tff na kwa kpgo cha jana n dhahr tff na magement nzima ya stars waondoke zao
 
Mzee jaribu kulazimisha kuwa muungwana kama huna jadi hiyo.Usiige tabia za wanasiasa wa kitanzania hasa wale ambao ni viongozi wa chama tawala ambao mambo huaribika na wao huendelea kubaki madarakani.Achia uongozi usisubiri tujiondoe kwenye mashindano ya kimataifa.
 
Kumbuka pia Edward Lowasa alitoa fedha nyingi kwa Malinzi wakati anagombea urais wa TFF. Ni wamoja hawa. Hakuna jipya

Wee lizaibon acha unafik wako hapa! Wee nawe c umadhaminiwa na mafisad wenu mnao wapgia debe humu jf?
 
Wakati wa mchakato wa uchaguzi wa tff,nilisisitiza Jamal anabebwa na serikali mliona Amos Makala alivyokuja juu jina lake lilipokatwa na kuwa influenced na uwepo wa kaka yake BMT Dioniz Malinzi kama mwenyekiti.Dioniz anawafadhili sana serikali wakaona wamzawadie tff.Jamal ni opportunist tu.So mtu wa familia ya mpira kiukweli.mtaona mengi zaidi.
 
Soka la awali kwa vijana litakuwa suluhisho la tatizo hili sugu.
Kuna program moja naioa pale Boko Beach Veteran na Laureate Iternational,
hebu wadau wa mpira w miguu pitieni,.Na vyombo husika pia kaangalieni.
 
Huyo malinzi Yuko hapo kwa maslahi binafsi tu
 
Wale watoto wa copa coca cola wanakwendaga wapi? Mbona ni wazuri sana na wana vipaji ?
 
Tanzania hatujuhi maana ya utaalamu katika soka maana ake nini
 
malinz ni boya kweli yule mzee hajui chochote amekalia kuwaweka wahaya tu kwenye uongoz
 
Wale watoto wa copa coca cola wanakwendaga wapi? Mbona ni wazuri sana na wana vipaji ?

Umefika muda wa watanzani uongee kitaaalamu

1. We jiulize Tz tuna timu za under 17 na 19 ambazo ni profesheni kweli kama wenzetu waganda?

2. Ukiachia Mwanza alliance kuna vituo vingapi vya serikali ambavyo vinadevelop vijana wadogo?

3. Kwani tatizo ni kocha mzawa ama kocha bora, mbona ganda wamefundishwa na Micho na Bob William na ndo wanazidi kushin kwani hao ni weusi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…