Mimi sio mwanasiasa kivile,ila kwa wale wanaofatilia mpira wa miguu mtakuwa mnadahamu mwenendo wa timu yetu ya taifa hasa baada ya kuchaguliwa kwa bwana jamal malinzi kama raisi wa tff,malinzi alitumia nguvu nyingi kiasi mpaka fifa wakaingilia kati,aliwahongo wajumbe na wapiga kura pesa nyingi sana akatumia hila za kila aina na hatimae akachaguliwa kuwa kiongozi mkuu wa maswala soka hapa tanzania,kilichofata baada ya kuchaguliwa kwake wote tuliona na tunaendelea kuona.
Aligeuka kuwa kiongozi wa visasi hasa kwa wale waliokuwa kambi tofauti naye kipindi cha uchaguzi.akajaza nduvu zake,kwnye kamati mbali mbali za tff,makocha wote alowakuta alitimua,kiufupi malinzi kaigeuza tff mali ya ukoo wao.
Wote tunashuhudia,matokea ya utekezaji wa mabo yake,timu ya taifa kila siku inafungwa,hakuna cha maana kinachofanyika.tumebaki kujitia maamuzi yetu na kulalamika kusiko isha.
Tukirudi kwenye maswala ya siasa,tunaona lowasa akijaribu mkupita kwenye mkondo ule ule aliopita malinzi wa tff,anahonga,nguvu analaghai,anatumia njia yoyote ile ili kufanikisha malengo yake.
Ndugu zangu.tabia ni kama rangi ya ngozi,once a jumper always a jumper.
Lowasa ni mwizi tena mwizi nguli,hii tabia imemganda na kamwe hatakuja kuiacha.mtu unabaki unajiuluza tangu ameanza kampeni zake kwa mapesa anayotatumia hivi hyu mtu angekuwa na nia ya dhati ya kutusaidia watanzania,hizo pesa si angechongesha madawati,tungemwona ni kiongozi anaejitoa,na angebaki kuwa shujaa ktk mioyo ya watanzania.
Yanayotokea tff yanaweza kuyokea katika taifa letu pia.tujitafakari upya.