Malipo ni hapa hapa duniani;Ogopa sana mtu ambae ukimdhulumu au kumtendea ubaya anakaa kimya na kupotezea.

Malipo ni hapa hapa duniani;Ogopa sana mtu ambae ukimdhulumu au kumtendea ubaya anakaa kimya na kupotezea.

Red black

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2019
Posts
18,719
Reaction score
60,636
Tuishi maisha ya amani na furaha bila kuwakwaza wenzetu,kuwafitini,kuwasemea uogo... nk
Screenshot_20260626-011219~2.jpg
 
Hakuna chochote kitakachokutokea kimazingara au out of nowhere hadi pale yule mtu aamue kufanya revenge tena ya katika real world

Ingekuwa kuna kitu kitakurudia kimazingara basi waaarabu waliofanya watumwa ndugu waafrika tena kuwabaka na kuwalaiti na kuwahaasi leo wangekuwa wanaatabika ila anaetaabika bado ni ngozi nyeusi aka mtu pori.
 
Malipo ya dhuluma zako yatalipwa hata kwa wajukuu zako..

kuna baadhi ya watu wanapitia madhila kutokana na makosa , dhulumati za babu zao.
Mkuu

Katika uonevu ambao nimeshawahi kuushuhudia ni huu, ubaya unafanya wewe anaenda kuulipia mtoto wako au mjukuu wako

Dunia ina mambo mengi sana aisee yaah wanalipa kweli watoto wako au wajukuu zako seriously
 
Back
Top Bottom