Malipo ni hapa hapa duniani;Ogopa sana mtu ambae ukimdhulumu au kumtendea ubaya anakaa kimya na kupotezea.

Malipo ni hapa hapa duniani;Ogopa sana mtu ambae ukimdhulumu au kumtendea ubaya anakaa kimya na kupotezea.

Kuna play boys wengi sana baada ya kuchezea mabinti wa watu, kuumiza hisia za wanawake, waliamua kuoa na wakapata mke mwema tu. Je hawa wanastahili mke mwema?

Tuna nice guys kibao baada ya kujitoa na kuonyesha wema kwa wapenzi wao waliishia kupigwa matukio. Je walistahili kutendewa hayo?
 
😄😄😄😄🙌🙌 Mama bilali msimamo wake ule ule either niende nikalime nae vitunguu au nibaki mjini nateswa..

Na hapa leo kuna sehemu nimepigiwa simu kiwanda cha tomato mkuu wanasema camishen ipo ila kila kidumu kimoja cha lita tano faida yangu ni 30
Mama bilali kashakuandalia shamba ila tatizo mishangazi ndiyo inakupeleka less 😂

Haya kimbiza kazi hiyo vidumu 10 Una Mia 3 sio haba
 
Mama bilali kashakuandalia shamba ila tatizo mishangazi ndiyo inakupeleka less 😂

Haya kimbiza kazi hiyo vidumu 10 Una Mia 3 sio haba
Daaaah kubabek we jamaa kama mchawi so una afikiana na hilo suala la mimi nikauze vidumu vya tomato 😄😄😄😄😄 taongea nao wanifanyie hata 50 kwa kila dumu mkuu...

Daaah unajua maisha haya mkuu acha kabisa wanaume tumeumbiwa mateso

We mjinga umenichosha kabisa et vidumu 10 nina mia tatu si haba...

Sasa hapo si haba inafanya nini
 
Daaaah kubabek we jamaa kama mchawi so una afikiana na hilo suala la mimi nikauze vidumu vya tomato 😄😄😄😄😄 taongea nao wanifanyie hata 50 kwa kila dumu mkuu...

Daaah unajua maisha haya mkuu acha kabisa wanaume tumeumbiwa mateso

We mjinga umenichosha kabisa et vid
Me mwenyew napambania Mia 2 kwenye kilo moja ya chupa 😂

Ila endelea kubargain nao wapandishe mshahara huo uwanaume kazi
 
Back
Top Bottom