Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Age alone doesnβt guarantee understanding.U are too young to understand that.
Mama bilali anasemaje ? πMi leo nimepigwa na huyu mmama kisa nimesaga nyanya ambazo ilibidi nitengeneze kachumbali..
Its oky mungu atalipa tuu
ππππππ Mama bilali msimamo wake ule ule either niende nikalime nae vitunguu au nibaki mjini nateswa..Mama bilali anasemaje ? π
Mama bilali kashakuandalia shamba ila tatizo mishangazi ndiyo inakupeleka less πππππππ Mama bilali msimamo wake ule ule either niende nikalime nae vitunguu au nibaki mjini nateswa..
Na hapa leo kuna sehemu nimepigiwa simu kiwanda cha tomato mkuu wanasema camishen ipo ila kila kidumu kimoja cha lita tano faida yangu ni 30
Daaaah kubabek we jamaa kama mchawi so una afikiana na hilo suala la mimi nikauze vidumu vya tomato πππππ taongea nao wanifanyie hata 50 kwa kila dumu mkuu...Mama bilali kashakuandalia shamba ila tatizo mishangazi ndiyo inakupeleka less π
Haya kimbiza kazi hiyo vidumu 10 Una Mia 3 sio haba
Me mwenyew napambania Mia 2 kwenye kilo moja ya chupa πDaaaah kubabek we jamaa kama mchawi so una afikiana na hilo suala la mimi nikauze vidumu vya tomato πππππ taongea nao wanifanyie hata 50 kwa kila dumu mkuu...
Daaah unajua maisha haya mkuu acha kabisa wanaume tumeumbiwa mateso
We mjinga umenichosha kabisa et vid
Karma is a bitchKarma is real.
What goes around comes around.
True dat.Karma is a bitch
Mwanetu we jau.. ππππMe mwenyew napambania Mia 2 kwenye kilo moja ya chupa π
Ila endelea kubargain nao wapandishe mshahara huo uwanaume kazi
Ewaa tuwakilishe mwambaAhahaha usiku naichapaga kisawa sawa an huko alipo akihisi nimeondoka huwa hana raha kabisa
Leo kanikera sana najua akija atanipa zoteee