Malipo ni hapahapa duniani, tutendeane wema

Pole mpenzi utakua umeamini kuwa Covid ipo na inaua, tulitaka tupoteze mtu muhimu ndio hakili zikae sawa. Tu
Hata yeye mwenyewe alijua siku moja atakufa. Hata wewe na mimi siku moja tutakufa... ila hatujui sababu ya vifo vyetu.
Your browser is not able to display this video.

Kila mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi ni chache
Your browser is not able to display this video.


Rest well my President, Pole sana kwa watanzania na wote walioguswa
Mungu awape imani amani na utulive Samia Suluhu Hassana, wasaidizi wengine wote na watanzania wote kwa msiba huu
 
Nimesoma nikirudia rudia kwa hisia sana, nimekuelewa mama D!
 
Hakuna binadam alieumbwa na mwanamke
 
Asante sana....
 
Chadema mtafurahia sana lakini hajui mnafuraia kitu gani. Mungu awasamehe Maana hamjui mlitendalo.

Siku zina kuja kila Aliemchukia huyu bwana Ataomboleza. Huyu bwana Alikua mzalendo wa kweli katika nchi yetu.

Kila nafsi itaonja umauti. Huyo anaefurahia siku zake zitafika tu.. na uzuri hakujawahi RAISI kutoka Kaskazini, na haitatokea kuongozwa na huo ukanda, labda kwa bahati mbaya.
 
Kabisa, ndio maana wakati upande mwingine wanalia sisi twaenda ku party, tusiishi kama vile miungu , dharau, viburi, majivuno, matusi yote utaenda nayo kaburini
 
Swali kubwa ni, post za ajira,zitarudi ama lah...
 
Kila nafsi itaonja umauti. Huyo anaefurahia siku zake zitafika tu.. na uzuri hakujawahi RAISI kutoka Kaskazini, na haitatokea kuongozwa na huo ukanda, labda kwa bahati mbaya.
Mwogope Mungu maana mipango yake so yako.Kumbuka wenye ubaguzi kama we we wa ukanda nao wana mwanzo na mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…