Pre GE2025 Malipo ya fedha za kukodisha chopa wakati wa kampeni yaliyolipwa kwa Mbowe yalimduwaza Lissu!

Pre GE2025 Malipo ya fedha za kukodisha chopa wakati wa kampeni yaliyolipwa kwa Mbowe yalimduwaza Lissu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
7,893
Reaction score
8,816
Lissu alidai kuwa moja ya upigaji wa fedha za chama yalifanyika kwenye kivuli cha malipo ya kukodi chopa wakati wa kampeni ya uchaguzi mkuu, kwakuwa mwenyekiti ndiye alikuwa anadai malipo ya gharama basi hakukuwa na namna!!!.

Ukimsikiliza Lissu hapo ni kama vile hamwamini Mbowe na kuona ni udanganyifu mkubwa uliokuwa unafanywa na mwenyekiti ili kujinufaisha na fedha za chama!!!

Lissu ameshuhudia maovu mengi ya mwenyekiti wake.
 
NIlimchangia alipopigwa risasi,nikamchangia na ununuzi wa gari,kama sio njaa ni nini
Tetesi toka Twitter zinasema kuna mtu kalambishwa asali ya 12B, na bado anahitaji mabilioni mengine ya kubustia 🤣🤣🤣 Dr Slaa kazungumzia hilo suala.

Ila 12B sio pesa ya kitoto 🤣🤣
 
Ila Mbowe aache nongwa, si aachie ngazi, anataka kuwa Mwenyekiti wa maisha?
 
Alichukua hatua gani yeye kama mmoja wa viongozi?
Inavyo semekana mbowe alishupaa kwelikweli, walishindwa kumhoji sana na badala yake wakesema apewe tu, ila Lisu alibaini kuwa hiyo ilikuwa aina ya upigaji wa fedha za Chama.
Ndio maana ukimsikiliza analia sana juu ya utaratibu mbovu wa fedha za chama.
 
Inasemekana !?
Huyo Lissu anatakiwa awe full of facts na si blabla. Alikuwa wapi kulia sana juu ya utaratibu mbovu?
 
Lissu alidai kuwa moja ya upigaji wa fedha za chama yalifanyika kwenye kivuli cha malipo ya kukodi chopa wakati wa kampeni ya uchaguzi mkuu, kwakuwa mwenyekiti ndiye alikuwa anadai malipo ya gharama basi hakukuwa na namna!!!.

Ukimsikiliza Lissu hapo ni kama vile hamwamini Mbowe na kuona ni udanganyifu mkubwa uliokuwa unafanywa na mwenyekiti ili kujinufaisha na fedha za chama!!!

Lissu ameshuhudia maovu mengi ya mwenyekiti wake.

Kisu yuko sahihi.

Kampeni za kutaka uongozi kwenye mifumo ya kidemokrasia mara nyingi madhaifu na maovu ya mpinzani wako ndiyo yanakua mtaji wa ushindi .
Ni wazi Mbowe anayesifiwa na CCM kuwa ana busara alikosa hekima za kujua kuwa zama zake zimepita hivyo angetakiwa kustaafu kwa heshima kubwa sana kabla hata ya kuchukua formu .
Sababu zake za kijinga za kuwa eti anataka kufikisha miaka 68 ni utoto kabisa .
Acha avuliwe mpaka boxer mermerae
 
Back
Top Bottom