Uliwahi kumsaidia?Lissu njaa inamsumbua tu
Sio njaa tu. Anaenda kuua chama mjinga huyu. Si aanzishe kingine.Lissu njaa inamsumbua tu
Kutwa tunakosoa CCM wanavyoiba mipesa, leo, akitajwa Mbowe nae anajipakulia minyama ya Chama mnakuja na maneno ya shombo....Lissu njaa inamsumbua tu
Lissu Hana njaa na Chadema haiwezi kufa.Sio njaa tu. Anaenda kuua chama mjinga huyu. Si aanzishe kingine.
SawaLissu Hana njaa na Chadema haiwezi kufa.
NIlimchangia alipopigwa risasi,nikamchangia na ununuzi wa gari,kama sio njaa ni niniUliwahi kumsaidia?
Yeye ni CAG?Kutwa tunakosoa CCM wanavyoiba mipesa, leo, akitajwa Mbowe nae anajipakulia minyama ya Chama mnakuja na maneno ya shombo....
Tetesi toka Twitter zinasema kuna mtu kalambishwa asali ya 12B, na bado anahitaji mabilioni mengine ya kubustia 🤣🤣🤣 Dr Slaa kazungumzia hilo suala.NIlimchangia alipopigwa risasi,nikamchangia na ununuzi wa gari,kama sio njaa ni nini
Alichukua hatua gani yeye kama mmoja wa viongozi?Lissu ameshuhudia maovu mengi ya mwenyekiti wake.
Inavyo semekana mbowe alishupaa kwelikweli, walishindwa kumhoji sana na badala yake wakesema apewe tu, ila Lisu alibaini kuwa hiyo ilikuwa aina ya upigaji wa fedha za Chama.Alichukua hatua gani yeye kama mmoja wa viongozi?
Inasemekana !?Inavyo semekana mbowe alishupaa kwelikweli, walishindwa kumhoji sana na badala yake wakesema apewe tu, ila Lisu alibaini kuwa hiyo ilikuwa aina ya upigaji wa fedha za Chama.
Ndio maana ukimsikiliza analia sana juu ya utaratibu mbovu wa fedha za chama.
Bora kikoba kifeSio njaa tu. Anaenda kuua chama mjinga huyu. Si aanzishe kingine.
Mahali popote penye mchaga ........Ila Mbowe aache nongwa, si aachie ngazi, anataka kuwa Mwenyekiti wa maisha?
Kikishakufa basi ndio furaha yenu. Foolish black people.Bora kikoba kife
Lissu alidai kuwa moja ya upigaji wa fedha za chama yalifanyika kwenye kivuli cha malipo ya kukodi chopa wakati wa kampeni ya uchaguzi mkuu, kwakuwa mwenyekiti ndiye alikuwa anadai malipo ya gharama basi hakukuwa na namna!!!.
Ukimsikiliza Lissu hapo ni kama vile hamwamini Mbowe na kuona ni udanganyifu mkubwa uliokuwa unafanywa na mwenyekiti ili kujinufaisha na fedha za chama!!!
Lissu ameshuhudia maovu mengi ya mwenyekiti wake.