Malisa akamatwa na Polisi, Namanga na kupelekwa kusikojulikana

Kama idadi ya watu wanaopotea ingekuwa inaenda sambamba na kutukanwa kwa kiongozi basi awamu ya Kikwete mpaka sasaingekuwa inaongoza kwa idadi ya watu waliopotezwa
 
Tatizo sio kukamatwa kwake Bali tatizo ni namba alivyo kamatwa.
 
Jamaa yuko smart sana ila sikuwahi kufikiri atakua mzembe kiasi hiki, alijiamini nini kurudi wakati huu? Tuombe Mungu tu awe salama.....ila amefanya kosa la kijinga sana....
Huwezi kumlaumu mtu kurudi nyumbani muda wowote anaotaka.
Jamaa yupo safi kichwani anajenga hoja vizuri sana.
Mimi naona huu ni mtego.
Alikuwa US miezi 9
Sio bure hapa na tayari wamenasa lengo lake limefanikiwa.
 
Huwezi kumlaumu mtu kurudi nyumbani muda wowote anaotaka.
Jamaa yupo safi kichwani anajenga hoja vizuri sana.
Mimi naona huu ni mtego.
Alikuwa US miezi 9
Sio bure hapa na tayari wamenasa lengo lake limefanikiwa.
Lengo lifanikiwe kwenye kukamatwa nafsi inakataa nikumuombea tu ndugu yetu
 
Namuombea tu Kwa Mungu hao mapolisi wasimlawiti aiseeee kama wale wakenya waliokuja kusikiliza kesi ya TAL
Hapo wanakufunga mdomo kabisa nasikia huwa wanachukua na video kabisa ukisema nywee wanaziachia
 
Hadi Maxence anasema WHAT THE *** kweli serikali yetu tuanze kuinyeyekea tu maana hakuna namna
WHAT THE FCK IS GOING IN OUR MOTHERFCKING COUNTRY ?
WHO HAS BEWITCHED YOU MUDA FAKAZ ?
 
Hawa umbwa wanafikiri watatawala TZ milele, nawaonea huruma sana, wasipolipa wao their next generations will pay dearly
HIZI KAULI HAZINA MSAADA KWA SASA
KINACHOTAKIWA NI KUPAMBANA NAO WAKATI HUU SIYO KUSUBIRI HABARI ZA KULIPWA NA VIZAZI VYAO.
 
Serikali ya awamu hii na utawala wa sheria, sijui UGOMVI wao utaisha lini?..tuzidi kuwaombea kwa Maulana
 
Ndio ATEKWE??..
 
Ninachowasihi wapigania mageuzi kwenye harakati zenu msichanganye na udini hata kama umelelewa katika dini simama katikati

Ni maoni yangu msinishambulie
 
Hivi Hawa jamaa wanakiwa wagumu kama ngozi ya kichwa kwa nini?

Katika hali nchi inapitia Kuna matukio hayakupasaa kutokea,has hili la polisi kuteka watu bila sababu za msingi.

Huu uhuni waataacha lini?
Kuna uzi wa Nairobi vs Dar,kwenye ule uzi kuna Mkenya IamLee alisema kama Gachagua au VP yryote Kenya angetekwa Kenya isingekalika. Hawa watu as long as wanateka na kuua ndugu zetu na sisi kukaa kimya kama kondoo wataendelea milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…