Malisa akamatwa na Polisi, Namanga na kupelekwa kusikojulikana

Mtu Mweusi au ni mwenzao pia, mambo mengi Nchi hii
 

Kwa Hali iliyopo kwa sasa nchini, tuseme tu Bwana Alitoa, na Bwana Alitwaa, jina lake lihimidiwe.

Poleni Familia, Bw. FM atakuwa ameshafanya yake au yule Mahita Jr Mkono wa chuma wa pale Arusha atakuwa tayari keshafanya yake
 
Tuache vyombo vya dola vifanye kazi yake. Havipangiwi.
 
Huyu jamaa alijua Marekani watampa hadhi ya ukimbizi kumbe wamemkatalia, Na alishaanza kutukana sana acha apambane na hali yake
 
Sijui amekamatwa na nani.
Lakini Malissa,activist wa Chadema alikuwa anarudi toka Marekani ,amepita Namanga,amekuwa detained na Uhamiaji,amepotezwa.
This is bad news kwa sababu utakumbuka Malissa ndio alikuwa anapenda kusema "Bashite is illiterate"
Na Bashite ndiye muasisi wa kundi la watekaji wanaoitwa "wasiojulikana"!
 
Kuna uzi wa Nairobi vs Dar,kwenye ule uzi kuna Mkenya IamLee alisema kama Gachagua au VP yryote Kenya angetekwa Kenya isingekalika. Hawa watu as long as wanateka na kuua ndugu zetu na sisi kukaa kimya kama kondoo wataendelea milele.
Mtu akikamatwa na makosa yafaa apelekwe kwenye kituo cha polisi, kisha afunguliwe mashtaka kortini.. mambo ya kupoteza watu umepitwa na wakati. Wakoloni walitufanya hivi, ila tulipojinyakulia uhuru sasa ni ni sisi tunafanya ndugu zetu! Huu unyama tupige kelele for the sake of kizazi kijacho.
 
Huwezi kumlaumu mtu kurudi nyumbani muda wowote anaotaka.
Jamaa yupo safi kichwani anajenga hoja vizuri sana.
Mimi naona huu ni mtego.
Alikuwa US miezi 9
Sio bure hapa na tayari wamenasa lengo lake limefanikiwa.
Lengo gani hilo mkuu?
 
Hapo wanakufunga mdomo kabisa nasikia huwa wanachukua na video kabisa ukisema nywee wanaziachia
Kama inavyosemekana yaliyomtokea Roma Mkatoliki na nchi akaihama kabisa hataki kuisikia kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…