Malisa akamatwa na Polisi, Namanga na kupelekwa kusikojulikana

Aiseee!!! Kwenye hadidu za rejea za SAMIA kwa MAFWELE .jina la Malissa,GJ ni lazima limo..
Nilishapata mashaka kitambo...hakupswa kurudi Bongo..kabisa..
CCM ni laana..yaani Mtu kwa USA anakuwa wa maana....Nchini kwake anawindwa auawe.!!!?
Du nahis atakuwa analipa kisasi nahis maaanna si kwa chuki hyo
 

Malissa hakuwa anatukana, tena alikua anatoa hoja kwa staha, na pia alikua msaada was umma km platform ya kutafuta watu waliopotea.
Em acheni huu ukatili, yana mwisho haya.
 

Huyu was sasa analipiza kisasi cha 2001, mbona alisha sema wazi.
 
Zamani mambo ya kutukana viongozi wa serikali hayakuwepo
Chanzo ni utawala wa kishetani. Ukiona mtu amefanya kosa mpeleke mahakamani atahukumiwa kwa kosa lake mambo ya kutekana ni ujinga ccm waliouanzisha ili kutokukosolewa.
 

Haswaaa.
 
Huyu was sasa analipiza kisasi cha 2001, mbona alisha sema wazi.
Wala sio kweli kwani kipindi mkapa anafanya aliyo yafanya 2001 alikuwa analipiza nini Kwa Wazanzibar?
Ccm ni mamafia bila kujali ni Wazanzibar au watanganyika.
Haya tuseme unacho kusema ni kweli je Magu aliye kuwa anateka,kumpiga lisasi na kufunga wapinzani alikuwa analipiza nini ?
 
Kuna uzi wa Nairobi vs Dar,kwenye ule uzi kuna Mkenya IamLee alisema kama Gachagua au VP yryote Kenya angetekwa Kenya isingekalika. Hawa watu as long as wanateka na kuua ndugu zetu na sisi kukaa kimya kama kondoo wataendelea milele.
Kuna namna siasa za Tanzania zinavyoendeshwa ni tofauti na Kenya.

Tanzania wanasiasa wanapigania kwa udi na uvumba vyama vyao, haswa wale wanaofaidika au walio ndani ya mfumo. mfano mtu ccm yupo tayari kuua ndugu yake wa kuzaliwa tumbo moja kisa tu huyo ndugu yupo against na ccm, sasa achilia mbali mtu wa kabila au dini yake ambaye ataenda kinyume na ccm.

Kwa Kenya wao wako zaidi kikabila, mfano upo kwa RAO ukiangalia zaidi ya 90% ya wafuasi/wanachama wake ni kutoka jamii yake ya asili(Luos) au the westerners. Na ukija kwa Riggy G naye ni hivyo hivyo ila yeye ni jamii ya Mlima Kenya (Kikuyus), sasa ni rahisi mnoo ku-mobilize jamii yako ya asili pindi kiongozi au mtu wanaye muona kama kipenzi chao akitendewa ndivyo sivyo.

Unatukosea sana kusema sisi tunakaa kimya kama kondoo, 1. Watu wanatoka kupitia forums mbalimbali kama hii na nyingine nyingi kukemea matendo OVU yote yanayotokea, ushahidi upo tele. 2. Kutokana na sababu hizo hapo juu na ukiongeza kuwa ccm wamejimilikisha vyombo karibu vyote vya ulinzi na usalama, ni ngumu na hatari zaidi kusema utoke barabarani kupinga uovu huu, mifano pia ipo mingi lakini wa karibu na wenye impacts kubwa na mbaya ni juzi tu October, 29, 2025.
 
Malisa ni mtu wa mlengo upi hapa tz?
Mlengo wa NYUMBU. Hivi we unyee kambi na bado huna kambi nyingine hiyo ni akili au matapishi. Alishiriki kuhamasisha zile ghasia na vurugu za mwaka jana, ameitukana serikali na Rais wake na kumbe alikuwa anajua anarudi Tanzania. Sasa wacha wamwoneshe maana ya nchi inayojitawala, atajua maana ya dola, sasa wale wanaomshabikia wamsaidie. Mtoto mdogo unavimba kichwa kwa kusifiwa humu huku ukimtukana mkuu wa nchi? Ni demokrasia gani hiyo, mmeona Rais wa Marekani anatukanwa kiasi anachotukanwa Rais wetu? Tena ameweka kabisa jina lake halisi, alijiamini kitu gani? Sasa apambane nao! Mnalialia nini humu?
Tatizo vijana wa chadema hawajui hata maana ya siasa wako km nyumbu! Hawana adabu ht kidogo wanamtukana kila mtu hawajui baba, mama, mzee! Na wataangamia sana wamekosa MAARIFA
 
Kwahiyo Ulawiti na Ufiraji ni lengo kuu la watekaji?
Tobaaaah.
nafikiri ni moja ya sirahq yao sababu hilo ni jambo la aibu hata kuwaambia watu kwamba walinibaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…