Malisa GJ huna uhalali wa kumlalamikia Nape kuku-block. Wewe ni kinara wa kupiga block

Malisa tapeli Sana...anafikiri atadanganya watu milele.

Anajinufaisha na misaada anayojifanya anachangisha ....

Siku moja ukweli utawekwa wazi...

Bado pia ni msambazaji mkubwa wa fake news
Nimatapeli wakubwa sana wakishirikiana na james mbowe, thadei ole Mushi na yericko nyerere, hawa wote wameniblock
 
🤓🤓🧐🤯Its hillarious.
Why? Because it can be circumvented.

Labda isiwe inawezekana hivyo kwa twitta ya sasa.

Ila basi kwa kisa cha Nape kushinda na bao la mkono na kutokuogopa marefa, watizamaji na wala kanuni na sheria za Kucheza kwa Uwazi na Usawa halafu anamwogopa Malisa....Wololo🤭 wacheni nicheke.

Nape angekufa kiume tu.

 
Mwacheni Malisa G, jamani ana haki kama Mtanzania yeyote yule kutaka kujuzwa na Kiongozi au Mwakilishi wake yanayojiri Nchini mwake au Serikalini.
Hatutaki Demokrasia?
 
Kwahiyo Nnape kwasababu ni kiongozi,ana akili kuliko Malissa au Rais kwasababu ni kiongozi,ana akili kuliko wananchi wote?
Huoni wewe ni mmoja wa watu wanaowafanya viongozi waamini wana akili kuliko wananchi,matokeo yake ni hayo ya DP world?
 
Malisa tapeli Sana...anafikiri atadanganya watu milele.

Anajinufaisha na misaada anayojifanya anachangisha ....

Siku moja ukweli utawekwa wazi...

Bado pia ni msambazaji mkubwa wa fake news
Ktk wkt sijawahi kukubali hoja yako ni leo
 
Eti nawe uitwe "Great Thinker???" Kazi ipo kweli kweli. Matongee🤣🤣🤣🤣🤣
Mimi sio Yesu. Ukinipiga kofi shavu la kushoto nakurudishia ngumi ya pua.
 
Dah!!

Kijana analia kisa amekuwa blocked twitter?
 
Malisa tapeli Sana...anafikiri atadanganya watu milele.

Anajinufaisha na misaada anayojifanya anachangisha ....

Siku moja ukweli utawekwa wazi...

Bado pia ni msambazaji mkubwa wa fake news
Boss una ushahidi wa kuthibitisha utapeli wake?
 
Malisakaniblock insta
Kisa aliandika stend ya magufuli imebadilishwa jina.nikamuambia tu sio kweli kaka hyo habari ni ya zamani.nimekumiss malisa naomba uniunblock sasa nilikosea nini jamani me fan wako

Sent from my SM-A725F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…