Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
ANd the shenigans continueWakili Peter Madeleka amekamatwa muda huu na watu waliojitambulisha kuwa ni Polisi akiwa katika Mahakama ya uhujumu uchumi (maarufu kama Mahakama ya Mafisadi) Mikocheni, jijini Dar. Watu hao hawajaeleza sababu ya kumkamata na hawajasema anapelekwa kituo gani? Kwa mijibu wa taarifa iliyotolewa na Wakili Gideon Mathew watu hao wamekamata pia gari yake, fedha na nyaraka kadhaa alizokua nazo.!
ok.πKwa madai ya Malisa aliyochapisha katika mtandao wa Istagram amesema Wakili Peter Madeleka amekamatwa muda huu na watu waliojitambulisha kuwa ni Polisi akiwa katika Mahakama ya uhujumu uchumi (maarufu kama Mahakama ya Mafisadi) Mikocheni, jijini Dar.
Watu hao hawajaeleza sababu ya kumkamata na hawajasema anapelekwa kituo gani? Kwa mijibu wa taarifa iliyotolewa na Wakili Gideon Mathew watu hao wamekamata pia gari yake, fedha na nyaraka kadhaa alizokua nazo.!
Watu hao hawajaeleza sababu ya kumkamata na hawajasema anapelekwa kituo gani? Kwa mijibu wa taarifa iliyotolewa na Wakili Gideon Mathew watu hao wamekamata pia gari yake, fedha na nyaraka kadhaa alizokua nazoπ₯Ίπ₯Ίπ₯ΊKwa madai ya Malisa aliyochapisha katika mtandao wa Istagram amesema Wakili Peter Madeleka amekamatwa muda huu na watu waliojitambulisha kuwa ni Polisi akiwa katika Mahakama ya uhujumu uchumi (maarufu kama Mahakama ya Mafisadi) Mikocheni, jijini Dar.
Watu hao hawajaeleza sababu ya kumkamata na hawajasema anapelekwa kituo gani? Kwa mijibu wa taarifa iliyotolewa na Wakili Gideon Mathew watu hao wamekamata pia gari yake, fedha na nyaraka kadhaa alizokua nazo.!
ok.πInasemekana amekamatwa na watu waliojitambulisha kuwa ni polisi.
Soma chini tujuzane kama ni kweli
Hiyo kada imewazidi akili, wanawaburuta mahakamani hadi kwneye sheria zenyeweNaona wanakaribia kuanza kuwateka mawakili hii kada walikuwa wanaistahi.
Haki,uhuru na amani ni nyara za serikali.Ikionekana upande wako zimejaa pomoni,unalo!Kwa sasa haki ni anasa nchi hii!
Yeye Bora wanajulikanaKwa madai ya Malisa aliyochapisha katika mtandao wa Istagram amesema Wakili Peter Madeleka amekamatwa muda huu na watu waliojitambulisha kuwa ni Polisi akiwa katika Mahakama ya uhujumu uchumi (maarufu kama Mahakama ya Mafisadi) Mikocheni, jijini Dar.
Watu hao hawajaeleza sababu ya kumkamata na hawajasema anapelekwa kituo gani? Kwa mijibu wa taarifa iliyotolewa na Wakili Gideon Mathew watu hao wamekamata pia gari yake, fedha na nyaraka kadhaa alizokua nazo.!
Kuna kipindi ofisi zao zililipuliwa kwa bomu.Remember?Naona wanakaribia kuanza kuwateka mawakili hii kada walikuwa wanaistahi.
Ooh asante kwa ukumbushoKuna kipindi ofisi zao zililipuliwa kwa bomu.Remember?
Hawawezi kumkamata "mungu Tito" na "shehe Popozz"!Halafu nabii Tito yuko huruππΏππΏππΏ
Tito ni wale wale akina mwaipopo, wanataka wenyw akili wasiongee yabaki matutusaHalafu nabii Tito yuko huruππΏππΏππΏ