Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 22,714
- 34,545
MLWatu hao hawajaeleza sababu ya kumkamata na hawajasema anapelekwa kituo gani? Kwa mijibu wa taarifa iliyotolewa na Wakili Gideon Mathew watu hao wamekamata pia gari yake, fedha na nyaraka kadhaa alizokua nazo🥺🥺🥺