Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
wala siwezi kubabaika na porojo kama hizo gentleman 🐒Utakuwa huna ndugu Wala huna tofauti na Sauli wa Ukoo wa Benjamin!
wala siwezi kubabaika na porojo kama hizo gentleman 🐒Utakuwa huna ndugu Wala huna tofauti na Sauli wa Ukoo wa Benjamin!
He is not threat to our nation securityHalafu nabii Tito yuko huru🙌🏿🙌🏿🏃🏿
Wewe tingisha Sana viuno Ila zamu yenu inakuja msifikili hatuwajui tumewahifazi kwa sababu ya nguvu zenu za sasaila kumbuka jinai haifi KAMWE.mtuhumiwa yeyote yule wa uhalifu anastahili kufikishwa kwenye vyombo husika regardless ya status yake.
hisia na mihemko useless ni hot air tu kwenye masuala ya kiusalama 🐒
Umemjiby vema. Anawatuma for sure
Mikono ganiMadereka yupo kwenye Mikono Salama
Wana upofu hawaoni mbali wajinga hawaAtalia soon,nani anamini ya slow slow!
Sehemu ambayo hataweza kunywa Pombe kuvuta bangi kula michemsho nyama choma na kutumia Simu, wali unapikwa mara moja kwa mwezi Nyama supu inapikwa mala moja kwa mwezi kipande kidogo kama big GMikono gani
Hivi hayupo tena ACT??!?tangu lini?Tatizo ni kuhusu maridhiano ya Zanzibar's na kujiondoa CCM b ACT.
Kwa madai ya Malisa aliyochapisha katika mtandao wa Istagram amesema Wakili Peter Madeleka amekamatwa muda huu na watu waliojitambulisha kuwa ni Polisi akiwa katika Mahakama ya uhujumu uchumi (maarufu kama Mahakama ya Mafisadi) Mikocheni, jijini Dar.
Watu hao hawajaeleza sababu ya kumkamata na hawajasema anapelekwa kituo gani? Kwa mijibu wa taarifa iliyotolewa na Wakili Gideon Mathew watu hao wamekamata pia gari yake, fedha na nyaraka kadhaa alizokua nazo.!
View attachment 3650381
Msajili mwenyewe gaidi...Ccm ni chama cha kigaidi.
..Msajili anapaswa kukifuta.
Wakati yeye ndio anapenda hivyo.Au wanafanya makusudi kumharibia huyu mama?
Hata yule wa ngorongoro mlisema hivyo ila akauawa.Madereka yupo kwenye Mikono Salama
Bora hata Moi. Huyu Samiah ni balaa kabisaNdivyo hivyo.Tanganyika imegeuka kuwa Kenya ya Daniel arap Moi ya 70s na 80s.
mwizi na fisadiMsajili mwenyewe gaidi.
Aah wapi! yeye ndiye anayewatuma. Hukuona akianzisha kosa la ugaidi kwa wanaharakati?Au wanafanya makusudi kumharibia huyu mama?