Kuna kipindi ofisi zao zililipuliwa kwa bomu.Remember?
..Ccm ni chama cha kigaidi.
..Msajili anapaswa kukifuta.
Kuna kipindi ofisi zao zililipuliwa kwa bomu.Remember?
Ndivyo hivyo.Tanganyika imegeuka kuwa Kenya ya Daniel arap Moi ya 70s na 80s.
Wakati alisema nguvu "zitumikazo" ni stahili kabisa!?Au wanafanya makusudi kumharibia huyu mama?
Au wanafanya makusudi kumharibia huyu mama?
Nadhani tumepita hapo kwa sasaNdivyo hivyo.Tanganyika imegeuka kuwa Kenya ya Daniel arap Moi ya 70s na 80s.
Unafulahia watu kuonewa na kakikundi kadogo ka kizimkazi kalikojimilikisha Tanganyika ?ok.🐒
Umemjiby vema. Anawatuma for sure..kivipi?
..si awazuie?
..kwanini hawakamati?
Kweli imekuwa republic of Burundi Sasa,Amani na Haki IPO mdomoni, matendo ni zero!Wakati alisema nguvu "zitumikazo" ni stahili kanisa!?
Atalia soon,nani anamini ya slow slow!Unafulahia watu kuonewa na kakikundi kadogo ka kizimkazi kalikojimilikisha Tanganyika ?
mtuhumiwa yeyote yule wa uhalifu anastahili kufikishwa kwenye vyombo husika regardless ya status yake.Unafulahia watu kuonewa na kakikundi kadogo ka kizimkazi kalikojimilikisha Tanganyika ?
Utakuwa huna ndugu Wala huna tofauti na Sauli wa Ukoo wa Benjamin!mtuhumiwa yeyote yule wa uhalifu anastahili kufikishwa kwenye vyombo husika.
hisia na mihemko useless ni hot air tu kwenye masuala ya kiusalama 🐒