Malisa: Wakili Madeleka amekamatwa na watu waliojitambulisha ni polisi

mtuhumiwa yeyote yule wa uhalifu anastahili kufikishwa kwenye vyombo husika regardless ya status yake.

hisia na mihemko useless ni hot air tu kwenye masuala ya kiusalama πŸ’
Wewe tingisha Sana viuno Ila zamu yenu inakuja msifikili hatuwajui tumewahifazi kwa sababu ya nguvu zenu za sasaila kumbuka jinai haifi KAMWE.
 
Umemjiby vema. Anawatuma for sure

..mambo ya utekaji yapo tangu 2016 akiwa makamu, na hayajakoma mpaka leo miaka 10 baadae.

..haiwezekani ashughulike na kadhia zote hapa nchini, isipokuwa utekaji, na mauaji, ya wakosoaji, na wanaharakati.

..lazima mambo haya yana ridhaa yake.
 
Mikono gani
Sehemu ambayo hataweza kunywa Pombe kuvuta bangi kula michemsho nyama choma na kutumia Simu, wali unapikwa mara moja kwa mwezi Nyama supu inapikwa mala moja kwa mwezi kipande kidogo kama big G
 
Kesi nyingi anaingia, karibu kila jambo anacoment hivyo ni vigumu hata kupredict kakanyaga waya wapi.
 
 

Attachments

  • 12081227_450393565146996_1442799204_n.jpg
    8 KB · Views: 9
  • E2J15v45XLSQdTMG.jpeg
    58 KB · Views: 8
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…