Malisa: Wakili Madeleka amekamatwa na watu waliojitambulisha ni polisi

Huyu Madeleka alijenga sana mazingira ya kukamatwa kwake. Simuonei huruma!
 
yana baraka zake maana wanaoteka ni polisi. Ni polisi and particularly TISS! ukweli usemwa
..mambo ya utekaji yapo tangu 2016 akiwa makamu, na hayajakoma mpaka leo miaka 10 baadae.

..haiwezekani ashughulike na kadhia zote hapa nchini, isipokuwa utekaji, na mauaji, ya wakosoaji, na wanaharakati.

..lazima mambo haya yana ridhaa yake.
 
Ally Kibao mtarajiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…