Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Mahakama ya wahujumu uchumi IPO mikocheni? Na wewe ni miiongoni mwa waliomkamata?Wakili Peter Madeleka amekamatwa muda huu na watu waliojitambulisha kuwa ni Polisi akiwa katika Mahakama ya uhujumu uchumi (maarufu kama Mahakama ya Mafisadi) iliyopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Watu hao hawajaeleza sababu ya kumkamata.
Polisi wamemkamata polisi mwenzaoNaona wanakaribia kuanza kuwateka mawakili hii kada walikuwa wanaistahi.
Mpumbavu wewe ndo mana una tupostia mi mavi Yako humu ulivyokuwa mjingaMadereka yupo kwenye Mikono Salama
Kwa madai ya Malisa aliyochapisha katika mtandao wa Istagram amesema Wakili Peter Madeleka amekamatwa muda huu na watu waliojitambulisha kuwa ni Polisi akiwa katika Mahakama ya uhujumu uchumi (maarufu kama Mahakama ya Mafisadi) Mikocheni, jijini Dar.
Watu hao hawajaeleza sababu ya kumkamata na hawajasema anapelekwa kituo gani? Kwa mijibu wa taarifa iliyotolewa na Wakili Gideon Mathew watu hao wamekamata pia gari yake, fedha na nyaraka kadhaa alizokua nazo.!
Soma Pia: Wakili Madeleka: Mahakama ichukue hatua dhidi ya Polisi kwa vitendo vya ukiukaji Sheria
View attachment 3650381
SawaMpumbavu wewe ndo mana una tupostia mi mavi Yako humu ulivyokuwa mjinga
Ipo mikocheni ITV walihama pale Law SchoolMahakama ya wahujumu uchumi IPO mikocheni? Na wewe ni miiongoni mwa waliomkamata?
Wameshafingwa mafisadi wangapi mpaka Sasa? Hasa Yale majizi yanayotajwa Kila mwaka kwenye ripoti ya CAG ambayo yamejazana pale lumumba?Ipo mikocheni ITV walihama pale Law School
Kibao tuu wako UkongaWameshafingwa mafisadi wangapi mpaka Sasa? Hasa Yale majizi yanayotajwa Kila mwaka kwenye ripoti ya CAG ambayo yamejazana pale lumumba?
We jamaa ni mwana filosofia.Haki,uhuru na amani ni nyara za serikali.Ikionekana upande wako zimejaa pomoni,unalo!
Kawaulize waliomkamata.Kwanza hata yeye sidhani anataka wewe umuonee huruma. Lakini pia kwani amefanyaje kinachofanya astahili kukamatwa?
Si alidai Samiah ni role model wake.Huyu Madeleka alijenga sana mazingira ya kukamatwa kwake. Simuonei huruma!