Maliwato si lazima yachukue nafasi kubwa kwenye nyumba

Maliwato si lazima yachukue nafasi kubwa kwenye nyumba

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1627028561708.png

1627028615828.png

1627029073595.png

1627049127051.png

1627049174999.png

Ni mpangilio tu lakini maliwato yanaweza kuchukua nafasi ndogo yenye mpangilio mzuri. Hii ni sehemu ya faragha hivyo watu wawili au watatu kukutana ni wakati wa kumhudumia mgonjwa.

Swahiba mmoja aliweka ceiling fan maliwato, hata kama kuna joto si unaoga maji ya baridi!
 
1627029966017.png


Inategemea matumizi yako, unaweza kuweka choo karibu ná sitting kama sitting room iko mbali na family bathroom, kuepusha usumbufu kwa wageni. Hapa unaweza kuweka choo na basin la kunawia tu. Bafu huendana na choo, ukiingia unamaliza mahitaji yako yote.

Tony Laurent
 
10mx4m -hili ni sawa na darasa la 1B. Chukulia una vyoo vinne vya saizi hiyo kwenye nyumba. Kama 40sqm ni choo tu bedroom itakuwaje?
Ndo maana nimesema kama una pesa..hii inawahusu wanaojenga mansions..lets say nyumba ina sqm 300 ground floor na 300 zingine floor ya juu..stepping into the bathroom like your stepping into the living room
 
Back
Top Bottom