Maliwato si lazima yachukue nafasi kubwa kwenye nyumba

Maliwato si lazima yachukue nafasi kubwa kwenye nyumba

Kuna wengine wanaogeshana sasa kajibafu kakiwa kadogo na baada ya kuogeshana ukitaka kupiga game inaweza kuwa ngumu.
 
40sq.m ni eneo kubwa sana kulifanys kuwa bathroom, angalau kwa sisi na hali zetu. Hiyo lounge tu ya 40sq.m, i.e 5mx8m ni kubwa sana kwa baadhi yetu hasa ukichukulia viwanja vyenyewe ni 400sq.m. Kinyonge bathroom ya 6sqm hadi 10sqm inatosha kabisa,. Ila kibingwa hizo kubwa kwa wenye uwezo wao no sawa.
 
Una maana urefu mita 8 na upana mita 5 ndio 40 sqm mbona hilo bathroom kubwa sana zaidi ya sitting room
Hata na me nlishangaa kidogo, 40 sqm ni sitting room 2 zenye ukubwa wa kutosha kabisa, au madarasa 2 ya wastani iv.
 
Favorite part of the house kwangu ni hiyo choo (me huwa naita Rest room or thinking room). Maana nikiingia huko huwa nabeba simu kabisa. Naweza kaa hata lisaa au saa na nusu. Just a place ambapo napata privacy ya kutosha kuwa pekee yangu mbali na dunia na walimwengu.

So Kimsingi kwangu ujenzi wa choo unazingatia vigezo vya rest room.
kuna mzee alikuwa anaenda na gazeti kabisa,mpaka alisome lote huku anakata gogo
 
Kuna fundi kajenga nyumba ya jirani kagorofa mbili SASA bomba la maji taka kalipitisha karibu na dirisha la floor ya chin🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom