Kama una pesa weka 40 sqm...hapo utaweka kila amenity ya bathroomSawa. Inatakiwa kuwa na ukubwa gani. Yaani urefu na upana wa maliwato husika. Je, ipi bora kuchanganya bafu na choo au kuvitenganisha?
Sawa. Inatakiwa kuwa na ukubwa gani. Yaani urefu na upana wa maliwato husika. Je, ipi bora kuchanganya bafu na choo au kuvitenganisha?
NimekupataView attachment 1864426
Inategemea matumizi yako, unaweza kuweka choo karibu ná sitting kama sitting room iko mbali na family bathroom, kuepusha usumbufu kwa wageni. Hapa unaweza kuweka choo na basin la kunawia tu. Bafu huendana na choo, ukiingia unamaliza mahitaji yako yote.
Tony Laurent
10mx4m -hili ni sawa na darasa la 1B. Chukulia una vyoo vinne vya saizi hiyo kwenye nyumba. Kama 40sqm ni choo tu bedroom itakuwaje?Kama una pesa weka 40 sqm...hapo utaweka kila amenity ya bathroom
Ndo maana nimesema kama una pesa..hii inawahusu wanaojenga mansions..lets say nyumba ina sqm 300 ground floor na 300 zingine floor ya juu..stepping into the bathroom like your stepping into the living room10mx4m -hili ni sawa na darasa la 1B. Chukulia una vyoo vinne vya saizi hiyo kwenye nyumba. Kama 40sqm ni choo tu bedroom itakuwaje?
10mx4m -hili ni sawa na darasa la 1B. Chukulia una vyoo vinne vya saizi hiyo kwenye nyumba. Kama 40sqm ni choo tu bedroom itakuwaje?
Humu unaweza kuweka kitanda ulale kabisaView attachment 1864793View attachment 1864795View attachment 1864798
Kama hivi mkuu...kuna watu can do this..bado una wasiwasi 40sqm kwa bathroom haiwezekani?
Sure madam...Humu unaweza kuweka kitanda ulale kabisa
Sasa hiyo size si room kabisa hiyo? Bado kubwa sanaView attachment 1864426
Inategemea matumizi yako, unaweza kuweka choo karibu ná sitting kama sitting room iko mbali na family bathroom, kuepusha usumbufu kwa wageni. Hapa unaweza kuweka choo na basin la kunawia tu. Bafu huendana na choo, ukiingia unamaliza mahitaji yako yote.
Tony Laurent
Duh hii sasa garage sio bathroom. Bathroom ya 3.5m by 2.5m inatosha sana...tena unajinafasi na kiruka sarakasi. Ata ukipata tumbo la kuhara unalala hapo hapo bathroomKama una pesa weka 40 sqm...hapo utaweka kila amenity ya bathroom
Sasa sisi wafugaji situtaharibu vitu humo haraka sana?View attachment 1864403
View attachment 1864404
View attachment 1864414
View attachment 1864728
View attachment 1864730
Ni mpangilio tu lakini maliwato yanaweza kuchukua nafasi ndogo yenye mpangilio mzuri. Hii ni sehemu ya faragha hivyo watu wawili au watatu kukutana ni wakati wa kumhudumia mgonjwa.
Swahiba mmoja aliweka ceiling fan maliwato, hata kama kuna joto si unaoga maji ya baridi!
mhhhhhhh unaogesha mwili tuu wenye urefu wa Inchi.....View attachment 1864793View attachment 1864795View attachment 1864798
Kama hivi mkuu...kuna watu can do this..bado una wasiwasi 40sqm kwa bathroom haiwezekani?
Ni nzuri, mi napenda maliwato yenye nafasi yap unaweka kitanda kabisa unalala.Humu unaweza kuweka kitanda ulale kabisa