Malizia hii sentensi: Tanzania ukitaka kuishi kwa furaha usikose…..?

Malizia hii sentensi: Tanzania ukitaka kuishi kwa furaha usikose…..?

Binti wa zamani

Platinum Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
15,052
Reaction score
36,866
Achana na pesa, taja kitu kingine halafu muite Mtanzania mwenzako unayemfahamu humu jukwaani naye atuambie yeye ni nini inabidi asikose.

Ila tuna nchi nzuri jamani, niko maporini natazama mazingira ya mama Tanzania, mimi furaha yangu nisikose kifurushi cha internet na kagari ka kupigia roadtrip (Na mengineyo yanayoweza kufanyika gari ikiwa kwenye parking mode 😉) .

Tz.png


(PS: Mnaoijua Dodoma,
tuambieni kiwanja kipi kizuri kuangalizia mechi ya final ya WC kesho?)
 

Attachments

  • July 2026.png
    July 2026.png
    2.7 MB · Views: 27
Achana na pesa, taja kitu kingine halafu muite Mtanzania mwenzako unayemfahamu jukwaani naye atuambie yeye inabidi asikose nini.

Ila tuna nchi nzuri jamani, niko maporini natazama mazingira ya mama Tanzania, mimi furaha yangu nisikose kifurushi cha internet na kagari ka kupigia roadtrip (Na mengineyo yanayoweza kufanyika gari ikiwa kwenye parking mode 😉) .

View attachment 3631681


View attachment 3631737


View attachment 3631685

(PS: Mnaoijua Dodoma, tuambieni kiwanja kipi kizuri kuangalizia mechi ya final ya WC kesho?)
Unaka shape kazuri, huwa naita body kinanda.
By the way kesho njoo tukutane Rainbow, usije kupelekwa viwanja vya machakani kama Nkuhungu huko.
 
View attachment 3631742

Nini inabidi usikose bongo hii? Aione mwanangu Poor Brain , kaka yangu Manyanza , wadogo zangu Seran , real Mamy ShesRise_1 , win-one , Depal na ephen_ na my dada leo dada na cocochanel
Hahaha nilibugia mi wine mingi bado kichwa kimezidi kuwa chepesi mpaka najihisi kupeperushwa .....

Hapa Tanzania 🇹🇿 usikose nini vile..........🤔🙄uzi ukifikisha replies 100 nitakuwa nimeshajua lakini muhimu ni kuamka ukiwa mzima wa afya na unaweza kutekeleza yaliyo ndani ya uwezo wako
 
Unaka shape kazuri, huwa naita body kinanda.
By the way kesho njoo tukutane Rainbow, usije kupelekwa viwanja vya machakani kama Nkuhungu huko.
Ngoja kesho nikawatazame kwa macho ya rohoni wewe na Binti wa zamani hapo Rainbow, kuna namna utaona kamtu kako busy na simu huku kanaficha ficha unajua kabisa huyu ni mjukuu wa Melo..!😹😹
 
Back
Top Bottom