Malizia hii sentensi: Tanzania ukitaka kuishi kwa furaha usikose…..?

Malizia hii sentensi: Tanzania ukitaka kuishi kwa furaha usikose…..?

Achana na pesa, taja kitu kingine halafu muite Mtanzania mwenzako unayemfahamu humu jukwaani naye atuambie yeye ni nini inabidi asikose.

Ila tuna nchi nzuri jamani, niko maporini natazama mazingira ya mama Tanzania, mimi furaha yangu nisikose kifurushi cha internet na kagari ka kupigia roadtrip (Na mengineyo yanayoweza kufanyika gari ikiwa kwenye parking mode 😉) .

View attachment 3631681


View attachment 3631737


View attachment 3631685

(PS: Mnaoijua Dodoma, tuambieni kiwanja kipi kizuri kuangalizia mechi ya final ya WC kesho?)
Kwa kivuli hiki dada yangu utakua una shepu ya kichaga.
 
Back
Top Bottom