Malizia hii sentensi: Tanzania ukitaka kuishi kwa furaha usikose…..?

Malizia hii sentensi: Tanzania ukitaka kuishi kwa furaha usikose…..?

Mengine yanweza kufanyika hata ndani ya gari ikiwa kwenye parking mode 😅😅😅
Hayo mambo madogo madogo hayana shida 😂 :uwotWater:
giphy 75.GIF
 
Nini inabidi usikose bongo hii?

View attachment 3631742

Aione mwanangu Poor Brain , kaka zangu Mshana Jr , Manyanza , bonjov , wadogo zangu Seran ,realMamy , ShesRise_1 , win-one , Depal na ephen_ , wapwa zangu Harmful , Nomadiq , Red black , dosho12 na my dadaz leo dada na cocochanel
Lovely Sister karibu maporini 😊

Bongo hii usikose simu tena smartphone na iwe na bundle
Hakikisha una power bank

Halafu kaa sehemu tulivu then turn on Data baasiiiiiiiiiii
 
Ngoja kesho nikawatazame kwa macho ya rohoni wewe na Binti wa zamani hapo Rainbow, kuna namna utaona kamtu kako busy na simu huku kanaficha ficha unajua kabisa huyu ni mjukuu wa Melo..!😹😹
Haaa haaa, utatujuaje sasa na humu wote ni anonymous?
Usitufotoe dada, tutakuja kuaibishwa humu 😂
 
Back
Top Bottom