Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 22,269
- 58,563
Kwa haraka haraka nimegundua alikuwa ana IDs 3View attachment 3632298
Fireeeee 🔥🤣
Uwiiiiiii, nimeona yule nyanda wa hovyo kumbe ni mzee wa matukio.
Eugene Krabbs
De Gunner
Elevven
Kwa haraka haraka nimegundua alikuwa ana IDs 3View attachment 3632298
Fireeeee 🔥🤣
Uwiiiiiii, nimeona yule nyanda wa hovyo kumbe ni mzee wa matukio.
Labda jaribu na Uganda 🇺🇬 na Rwanda 🇷🇼 black beauty wapo huko wa kutosha!Ewaaa hio gif ndio appearance ninayoitafuta lakini Bongo hapana 🤣
JF ina mambo, kumbe ni 3, nilijua mbili tu.Kwa haraka haraka nimegundua alikuwa ana IDs 3
Eugene Krabbs
De Gunner
Elevven
VIP treatment ndiyo inakuwaje hiyo?Niandae meza yetu kwa ajili ya VIP treatment?
No wahala 🙌 🤣Labda jaribu na Uganda 🇺🇬 na Rwanda 🇷🇼 black beauty wapo huko wa kutosha!
Asifunge hiyo kesho, awe draw na MbapeShida kale ka golden....naniii kanapewaga namba 101 tu achatu
Hahahahaaa 😄 🤣 😂 😄 🤣 😂 😄 🤣
Ronaldo why 7
Basi kuwa mpole tu 🤣No wahala 🙌 🤣
Tushafika huko 🇳🇬
Roho inaniuma lakini Dada wane sijui wapi nimekosea 😑Basi kuwa mpole tu 🤣
ubinadamu kaziKidogo nimalizie kwa kusema unatakiwa uwe mnafiki na mwenye roho mbaya na ndivyo namalizia ivyo. Do you know this? Kwa Tanzania ya Leo wema wanateseka sana huku wabaya wakiponda Raha.
Kwaufupi kubali kuishi kwa shida lakini uishi kwa haki yaani usiwe mdhurumaji,murushwa,fisadi,muuaji,mpenda ngono,mtu wa kubeti(kubashiri),kwenda kwa waganga,mtukanaji,muoga wa kutetea haki na yanayofanana na hayo ATA KAMA UKIPITIA SHIDA KWASABABU HUO NDIO UBINADAMU.
Kabole no kyanda kenako🤦🏽♀View attachment 3632298
Fireeeee 🔥🤣
Uwiiiiiii, nimeona yule nyanda wa hovyo kumbe ni mzee wa matukio.
Inakuwa ki VIP VIP.VIP treatment ndiyo inakuwaje hiyo?