Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Kujitetea n kuwafunulia chupi ili waone kikojoleo, tofauti na hapo, wapotezee tuuEti jamani, kwenye hili mnitetee tu 😂 🤣
Kujitetea n kuwafunulia chupi ili waone kikojoleo, tofauti na hapo, wapotezee tuuEti jamani, kwenye hili mnitetee tu 😂 🤣
Kivuli hakidanganyiUmejuaje chali yangu
Mara nyingi mno nna picha zako kama zote 😁Mara ngapi umeniona?🤔
😁😁😁😁Eti jamani, kwenye hili mnitetee tu 😂 🤣
Kumbe hao wanawake wa kununua inabidi kuwawahi pia 🤣Yeah, nikichelewa wale wazuri watamalizwa.
Niko poa mamy. Naona unavoenjoy😜Muhimu sana 💯
Uko poa love 🤗
Chelewa chelewa utakuta mwana si wako 😎Kumbe hao wanawake wa kununua inabidi kuwawahi pia 🤣
Mna heka heka 🙌
Nimejaa tele maywangu,leo naona umekuja kivingine,umetupumzisha mihemko😂Joannah, upo dada?
ephen_ angalia hapa au nimekoseaNilijua ni aina zako za zile nyuzi za katerero (haidrokso kwa kiingereza) kumbe hadi usiku, daah
View attachment 3631743
Itakua labda nimekosea labda sijui nimebonyeza wap nikaletewa na hii pia ina bannKipi kinaonesha na hii ni id yake
Unazifanyia nini mkuu? Hebu tuanzie hapo🤔Mara nyingi mno nna picha zako kama zote 😁
ubinadamu kaziKidogo nimalizie kwa kusema unatakiwa uwe mnafiki na mwenye roho mbaya na ndivyo namalizia ivyo. Do you know this? Kwa Tanzania ya Leo wema wanateseka sana huku wabaya wakiponda Raha.
Kwaufupi kubali kuishi kwa shida lakini uishi kwa haki yaani usiwe mdhurumaji,murushwa,fisadi,muuaji,mpenda ngono,mtu wa kubeti(kubashiri),kwenda kwa waganga,mtukanaji,muoga wa kutetea haki na yanayofanana na hayo ATA KAMA UKIPITIA SHIDA KWASABABU HUO NDIO UBINADAMU.
Bhebeshi otopokelaga simu yane, kumbe onyand’okho ale nshenji ghete! Muda wote najua napambana na mtu mwingine kumbe parody lake limepigwa ban bwana! Hebu fanya haraka unirudie moyo unafurukuta kwa umbea! Beng’we!🫢🙆🏽♀️Simuwezi, ni kama akili zake haziko sawa hivi 🥴!
Ntombhana ghete, ulena tuja sana onyanda bhebhe.
ubinadamu kaziKidogo nimalizie kwa kusema unatakiwa uwe mnafiki na mwenye roho mbaya na ndivyo namalizia ivyo. Do you know this? Kwa Tanzania ya Leo wema wanateseka sana huku wabaya wakiponda Raha.
Kwaufupi kubali kuishi kwa shida lakini uishi kwa haki yaani usiwe mdhurumaji,murushwa,fisadi,muuaji,mpenda ngono,mtu wa kubeti(kubashiri),kwenda kwa waganga,mtukanaji,muoga wa kutetea haki na yanayofanana na hayo ATA KAMA UKIPITIA SHIDA KWASABABU HUO NDIO UBINADAMU.
Si umeona kumbe ni li kijana la hovyo na linatumia multiple IDs humu!😅😅😅
Nimecheka kwa nguvu
Vijana wa kibongo hasa hawa Gen Z wamekuwa wa hovyo wamekimbia mitandao ya Kizungu FB,IG, TIKTOK maumivu yao wanataka kuyapooza humu. Halafu hizi multiple id's ni kuwapa kazi zisizo na ulazima ModsSi umeona kumbe ni li kijana la hovyo na linatumia multiple IDs humu!
Tema moto kama dragon 🔥