Ingia wasap nmekutumia, naona upo offlineUnitumie ushuhuda😅
Hayataki userious tu!☺️Hilo halisumbui Seran nimempa ushahidi. Dada wane hapa Bongo ukiwa laini sana unaonekana kama wanakuweza alafu ukionyesha msimamo wa kiume nayo ni changamoto tu . Anyways turning kwenye huu uzi mpaka sasa hivi Najihisi Kukosa Kitu Ambacho Sikifahamu 🤣
Ije kama video😎Ingia wasap nmekutumia, naona upo offline
Takbir ⚔️Ije kama video😎
Astakafirilah 🙆Kila nikikumbuka kuna mtu alinambia binti wa zamani ni shoga, naishiwa pawa😂
Hakuna U-serious lakini unajua wakati mwingine upande mmoja ukawa unalaIzimisha mambo hapo ndipo inakuwa majanga na huwa inauma sana aisee , mtu umetengeneza ramani nzuri halafu inakuja kubomolewa , huwa ni kipengele kigumu sanaHayataki userious tu!☺️
Pesa na Gari jamani 😛Nini inabidi usikose bongo hii?
View attachment 3631742
Aione mwanangu Poor Brain , kaka zangu Mshana Jr , Manyanza , bonjov , wadogo zangu Seran ,realMamy , ShesRise_1 , win-one , Depal na ephen_ , wapwa zangu Harmful , Nomadiq , Red black , dosho12 na my dadaz leo dada na cocochanel
Sawa nibetie basi kama mfano nione mkeka ukitiki nishawishike!Haina tofauti na swali mkuu usiogope
Yeah uko sahihi kabisa!Hakuna U-serious lakini unajua wakati mwingine upande mmoja ukawa unalaIzimisha mambo hapo ndipo inakuwa majanga na huwa inauma sana aisee , mtu umetengeneza ramani nzuri halafu inakuja kubomolewa , huwa ni kipengele kigumu sana
Happy to hear that, nitakucheki 🙂Kwanini Not..??Kipenzi...!!Zipo Mnoo.....