Malizia hii sentensi: Tanzania ukitaka kuishi kwa furaha usikose…..?

Malizia hii sentensi: Tanzania ukitaka kuishi kwa furaha usikose…..?

Hahaha nimeishi na wazungu kama miaka miwili pika pakua najua taratibu zilivyo,
Kama taratibu unazijua basi utaweza, maana yale mambo ya mfumo dume wa usukumani hayapo.
hapa Bongo kama chemistry zinanigomea vile.😃
Mbona uko vizuri kaka yangu, mawifi wanashindwa kipengele gani?
 
Ina maana Mungu hana ya kujibu maombi ya wengine? Basi nadhani hili ombi lako lipo kwenye foleni ya 1000000000 huko 🙌🙌😅
Foleni ni ndevu, naona wengi mnatafuta wa kufanana nao hampati 😂
Halafu unayetaka kumuombea naye aache uvivu apambane na yeye
Haaa haaa, lazima atakua anapambana na yeye
 
Kama taratibu unazijua basi utaweza, maana yale mambo ya mfumo dume wa usukumani hayapo.

Mbona uko vizuri kaka yangu, mawifi wanashindwa kipengele gani?
Hilo halisumbui Seran nimempa ushahidi. Dada wane hapa Bongo ukiwa laini sana unaonekana kama wanakuweza alafu ukionyesha msimamo wa kiume nayo ni changamoto tu . Anyways turning kwenye huu uzi mpaka sasa hivi Najihisi Kukosa Kitu Ambacho Sikifahamu 🤣
 
Bilionea asiye bilionea 😆
Ni mtihani 😂
Enewei, tafuta anayependa kuikalia na tako liwe kwa mbali 🤭 lisiwe jingi sana.
ride cowgirl GIF.gif
 
Back
Top Bottom