Malizia hii sentensi: Tanzania ukitaka kuishi kwa furaha usikose…..?

Malizia hii sentensi: Tanzania ukitaka kuishi kwa furaha usikose…..?

Kidogo nimalizie kwa kusema unatakiwa uwe mnafiki na mwenye roho mbaya na ndivyo namalizia ivyo. Do you know this? Kwa Tanzania ya Leo wema wanateseka sana huku wabaya wakiponda Raha.
Kwaufupi kubali kuishi kwa shida lakini uishi kwa haki yaani usiwe mdhurumaji,murushwa,fisadi,muuaji,mpenda ngono,mtu wa kubeti(kubashiri),kwenda kwa waganga,mtukanaji,muoga wa kutetea haki na yanayofanana na hayo ATA KAMA UKIPITIA SHIDA KWASABABU HUO NDIO UBINADAMU.
 
Back
Top Bottom